Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Hao jamaa wanaimba eti "kenya hawatuwezi" huo ni u primitive kabisaa sijui kwann WaTz tuna assert za ajabu sanaaa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
''.......
>Uganda need good coal or natural gas in order to produce steel from iron ore.

=>Tukileta haya mafuta, tunataka na bomba lingine lipande kule kuchukua gasi.
=>Tanzania governement no transit fees, no VAT, no corporate tax......
''
 
binafsi nimependa uzalendo wa mh. museveni. kawananga wazungu (europeans) kwa kejeli hasa kuiita ziwa MUITANZIGE lake albert na kwamba tutafute neno/msamiati mujarabu wa iron ores (kwa lugha zao) /obutare >>chuma cha pua. japi walilia demokrasia wa mtaani wanawachukia museven, gadaffi na mugabe; mimi nachagua kuwa kinyume.
 
Kutoka Tanga Katibu mkuu wa ccm Mzee Kinana Kasema Hakuna Rais Mzuri Duniani Kote Kama Rais museveni
Je nikweli au hatakuwa ule Ugonjwa aliye agizwa India bado ujapona au kaamua kutupa Dongo LA kijanja Pombe kuwa yeye si kitu ndio maana kaamua kumpa sifa Museveni
2020Mwagapombe

a2d2aaa5d674f5730c1701d96a7c79b8.jpg
 
Hutaki unaacha. Jana amepiga kitu kingine cha kufa mtu Tanga. Nikasema daaah. Huyu jamaa noma. Naanza kuielewa Ile kampeni ya Magufuli baki. Tanzania kuwa taifa linalofadhili Nchi maskini inawezekana
 
Tanga kulikuwa na nini kama kiashiria cha kuelekea Tanzania kuwa nchi ya kusaidia nchi maskini?
 
Back
Top Bottom