Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Television kongwe na kubwa kuliko zote nchini ITV imetia aibu leo katika kurusha matangazo yake mubashara kutoka Tanga ukilinganisha na television zingine katika upande wa ubora wa picha.. Picha zirushwazo na ITV ni chafu na zimefifia mno zinatia aibu.. Hongera sana kwa Clouds Tv kwa kurusha picha zenye ubora wa HD na zenye mng'ao na wa hali ya juu.. Yaani hadi TBC imeizidi ITV kwa ubora wa picha za mubashara kwa leo aisee aibu sana ITv.

Sent from iphone 7 plus

Sasa kama hao Wafanyakazi hadi leo wana Mwezi wa 19 hawajapokea si Mshahara wala Marupurupu unategemea nini labda?
 
Television kongwe na kubwa kuliko zote nchini ITV imetia aibu leo katika kurusha matangazo yake mubashara kutoka Tanga ukilinganisha na television zingine katika upande wa ubora wa picha.. Picha zirushwazo na ITV ni chafu na zimefifia mno zinatia aibu.. Hongera sana kwa Clouds Tv kwa kurusha picha zenye ubora wa HD na zenye mng'ao na wa hali ya juu.. Yaani hadi TBC imeizidi ITV kwa ubora wa picha za mubashara kwa leo aisee aibu sana ITv.

Sent from iphone 7 plus
tupo kwenye mkakati wa kuziloga Tv zote ili tubaki na TBC, sasa mizimwi yetu imeanza na itv
 
Jamaa anapenda sifa sana huyu..cjaona sabb kubwa ya kufanya hi hafla kubwa iv anafanya uharibifu wa.ela.zetu za.kodi
 
hivi viongozi huwa hawapitii hivi vikundi kabla ili kujiridhisha na maudhui yanayowasilishwa? sasa hawa wazee wanaipiga kijembe Kenya live!
Hayo ni matokeo ya akili ndogo
 
Tayari rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefika eneo la tukio.

=>Yupo pia makamu wa rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan. Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Kasim Majaliwa

=>Wapo pia viongozi waandamizi wa serikali akiwemo naibu spika wa bunge Dr Tulia Ackson, naibu waziri wa Nishati na madini Dr Medard Kalamani.

=>Sasa Rais Magufuli anampokea rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na tayari wote wawili wanaingia ukumbini

Mkuu mbona umepotea tena? Updates zimeisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Tanazani tutaacha lini uchama?

1. Kuna kikundi kimeimba; kina mama wamevaa madela ya Ccm..! Kuna haja gani ya kuvaa nguo za ccm kwenye event kam hii..?
Hizo ni kampeni za Mtukufu wala usiumize kichwa
 
Kuna uongo unaaminishwa hapa kwamba hili bomba litainua uchumi wa mikoa/wilaya/vijiji vinavyopitiwa...
Hapa faida ni vibarua tu wakat wa ujenzi lkn likishakamilika ndio utakuwa mwisho wa kila kitu kama ilivyo kwa TAZAMA lile la Zambia...
Ndg zangu mnaopitiwa na hii pipeline kwenye maeneo yenu msiassume hayo matumain mnayiwekewa sooo deeply
 
Mradi wa bil $ 3 nchi nzima imehamia tanga, siku acacia wakitulipa zile $ bil 190 zetu nadhani itabidi nchi nzima tufanye sherehe
Actually..! Magufuli is sometimes missing his point..!

I don't see if there was neccessity of having all goverment officials for just one event..

Vyombo vya usalama vyotee vya nini sasa kwa mfano..?
 
Hivi huyo mganda anavyohutubia kizungu sizonje anaelewa kweli
 
Back
Top Bottom