Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga


Sasa kama hao Wafanyakazi hadi leo wana Mwezi wa 19 hawajapokea si Mshahara wala Marupurupu unategemea nini labda?
 
tupo kwenye mkakati wa kuziloga Tv zote ili tubaki na TBC, sasa mizimwi yetu imeanza na itv
 
Jamaa anapenda sifa sana huyu..cjaona sabb kubwa ya kufanya hi hafla kubwa iv anafanya uharibifu wa.ela.zetu za.kodi
 
hivi viongozi huwa hawapitii hivi vikundi kabla ili kujiridhisha na maudhui yanayowasilishwa? sasa hawa wazee wanaipiga kijembe Kenya live!
Hayo ni matokeo ya akili ndogo
 
Mkuu mbona umepotea tena? Updates zimeisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Tanazani tutaacha lini uchama?

1. Kuna kikundi kimeimba; kina mama wamevaa madela ya Ccm..! Kuna haja gani ya kuvaa nguo za ccm kwenye event kam hii..?
Hizo ni kampeni za Mtukufu wala usiumize kichwa
 
Kuna uongo unaaminishwa hapa kwamba hili bomba litainua uchumi wa mikoa/wilaya/vijiji vinavyopitiwa...
Hapa faida ni vibarua tu wakat wa ujenzi lkn likishakamilika ndio utakuwa mwisho wa kila kitu kama ilivyo kwa TAZAMA lile la Zambia...
Ndg zangu mnaopitiwa na hii pipeline kwenye maeneo yenu msiassume hayo matumain mnayiwekewa sooo deeply
 
Mradi wa bil $ 3 nchi nzima imehamia tanga, siku acacia wakitulipa zile $ bil 190 zetu nadhani itabidi nchi nzima tufanye sherehe
Actually..! Magufuli is sometimes missing his point..!

I don't see if there was neccessity of having all goverment officials for just one event..

Vyombo vya usalama vyotee vya nini sasa kwa mfano..?
 
Hivi huyo mganda anavyohutubia kizungu sizonje anaelewa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…