Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Wewe bado kwenye siasa maana alivyoongea amebalance sana na ingekuwa kwingine kiongozi angeongeza mengi zaidi ya hayo Rais aliyosema.Sidhani kama Rais yuko sahihi kuzungumzia Mambo ya uchama kwenye uzinduzi ambao una watu wa Uganda..
Mambo ya ndani yangebaki kuwa mambo ya ndani tuu..
It is an interesting encounter!!!Magufuli ni kiboko kapatanisha watu live live, hatimaye makonda ameuza sura
Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
Magufuli ni kiboko kapatanisha watu live live, hatimaye makonda ameuza sura
Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
Kwahio bifu limeisha ? Vipi akina makunga Na kaka angu Meena ?Hili la kuwapatanisha makonda na Ruge ni la aina yake.
Kuna mambo mengi ya maingi kwenye nchi hii kuliko mgogoro wa makonda na ruge.
Mtakufa kwa pressure dadek
Kila mtu kuwa mwizi siyo ufahari wala haihalalishi wizi kwamba ni jambo jema. Za mwizi 40!Afrika hii nani?, si mwizi........hata mkulima wa jembe la mkono ni mwizi,,,,,,,ukitaka kujua kuwa ni mwizi,,,siku akiwa na kibarua wakumusaidia sambani , badala ya kutoka SAA 6 ya siku zote,,,,,,,kipindi hiki akiwa na kibarua mpaka saa12,,,,ndipo atamutoka shamba .....
Baba kamaliza tofauti..BASHTE na Ruge bifu kwishiney....
Huyo ndio Ngosha ze Dong.Naona Beef la Ruge na Makonda limeisha [emoji3][emoji3][emoji3]
Magu ni next level...
Mzee kamita jukwaani Ruge then akamwita na makonda akawaambia washikane mikono na pia akasema anataka mambo yao yaishe wapige kazi.... Clouds wamejaribu kukwepesha kamera ila wakashindwaKwamba? Unasemaje?
Hiyo inaitwa KUBABATIZWAHahahaaaa!
Magufuli ni sheedah! Yaani lile bifu limeisha kirahisi hivyoo?
Waache wajifunze kutokuingilia ugomvi wa ndugu.Kwahio bifu limeisha ? Vipi akina makunga Na kaka angu Meena ?