Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Wanasiasa wasikilize, kamwe usiwaamini. Unajua aliefanikisha bomba la mafuta toka Uganda kupitia Tanzania ni El-shababu? Pole sana.
Kweli kama sio threat ya al shabaab tungelisikia tu hilo bomba kwenye tv zao
 
Hahahaaa....see...

This is the change I'm talking about.

It is so out of character.

Come on bruh....
To return respect with respect and ridicule with even greater ridicule has always been my character.

Like The Peace of Westphalia, I give reciprocity a premium highly placed among my cardinal rules.

Perhaps this character never had so much opportunity to show.

I can be a sophisticated debonair gentleman with all the courtly savoir-faire of a modern day refined renaissance man, when appropriate.

Or I can go loco like a deranged thug.

Depending on how a mf rubs me.
 
Kuna watz nashindwa kuwaelewa kila kitu mtu anataka kukijibu hata kwa hili la overspeaking kuna mtu anatoa mchango kuwa mbona Kenya na wao huwa wanasema this is foolish huyu kiongozi yeye ni mungu kuwa ukisema hapo kakosea kusema ina kuwa kama ni dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu nasema kama nilivyosema kwenye uzi mwingine our president hajui kuongea hana diplomatic language ukijumlisha na ukanda aliotoka mie ndio nachoka na sijui kama hajaongelea wezi na kuibiwa kama kawaida yake sijasikiliza hotuba lakini najua hakuna jipya kusema yote hayo ni matokeo ya lowasa kwenye kampeni za Uhuru kule masaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha Kenyata kuwa pamoja na Lowassa kimemkera sana na hayo ndio majibu yake.
 
To return respect with respect and ridicule with even greater ridicule has always been my character.

Like The Peace of Westphalia, I give reciprocity a premium highly placed among my cardinal rules.

Perhaps this character never had so much opportunity to show.

I can be a sophisticated debonair gentleman with all the courtly savoir-faire of a modern day refined renaissance man, when appropriate.

Or I can go loco like a deranged thug.

Depending on how a mf rubs me.

Naona tayari uko behind bars tena😀
 
Hata Wakenya mbona huwa wanatutukana sana kwenye vyombo vyao vya habari, ina maana huo Ujirani mwema ni kwetu tu ila kwao hapana?

Najua utajibu kuwa Magufuli ni kiongozi wa nchi lakini wewe fuatilia vizuri bubge la Kenya na hata lile sakati la utalii utaona jinsi walivyomtukana Nyalandu na Kikwete.

Wakenya ni watu wa hovyo sana,
Wala Magufuli asiwachekee hata kidogo.
Nchi ni lazima ifanye biashara kama hawataki mahusiano basi wakafie mbele huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa Kenya anatutukana "mubashara"?
 
Mmebakia mipasho tu...nchi yenu elimu duni, uchumi duni, akili duni, afya duni, hamna muelekeo mna kazi ya kuongozwa na matamko tu...

Kama ni hivyo mbona nasikia Wakenya wamejaa sasa hivi katika hiyo nchi ulioianisha kwa hasira hivyo. Unatoka nchi bora unaenda nchi duni? Akili bora, afya bora, elimu bora zote zinanyeyuka ukifika uchaguzi???
 
Nimekupata. . na kama kweli wako serious na majizi ,,,,, wengi wangetiwa korokoroni,,,,,ila kwa huyu , kama vile kuna jambo silielewi......the is something behind the curtain....... Iam telling u,,,,,,,hakuna jizi kama CHENGE lakini liko mtaani linapeta.
Kuna majizi yalishamatwa 1947, na jizi na dhulmati manji limekamatwa. So usishangae jizi chenge likija kukamatwa 2020 na kama unaona linatakiwa kukamatwa haraka huyo ni wewe na akili zako!
 
Rais wa Kenya anatutukana "mubashara"?
Hujawahi kusikia wala kuona?
Diplomasia ya kimataifa ina nyuso nyingi na mikono kama The Goddes Sheeva.

Unaweza usimtukane mtu kwa maneno ukamtukana mtu kivitendo hasa kwenye nyanja nzima ya Utendaji ndani ya serikali.

Mfano rahisi tu: Leo tuwe tumesaini Mkataba wa kibiashara unalazimisha kwamba ili chochote kiruhusiwe ni lazima wakuu wote wa nchi wakubaline.

Wewe na Serikali yako mnaamua kwenda kusaini mkataba wa pili bila kuwajulisha wenzako, hayo ni matusi ya nje nje. Basi hivi ndivyo Kenya alivyozitukana nchi za Afrika Mashariki kwa kutaka zisaini Mkataba wa EPA na kugeuza TANZANIA kuwa Dumping Place for European Finished Goods.

Kitendo kile cha kwenda kukubaliana na wazungu bila kuwashirikisha wenzake walioaini Mkataba wa Hati Idhini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EASAT AFRICAN COMMUNITY CHARTER) ni tusi tosha.

Mimi sikubaliani na sera za Raisi Magufuli lakini kwa hili aendelee tu.
Hawana adabu kabisa hawa Wakenya.
 
sio kila binadamu ana hekima na busara so tumsamehe bure mzee nae ni binadamu ,..... No One Is Perfect
 
Kuna watz nashindwa kuwaelewa kila kitu mtu anataka kukijibu hata kwa hili la overspeaking kuna mtu anatoa mchango kuwa mbona Kenya na wao huwa wanasema this is foolish huyu kiongozi yeye ni mungu kuwa ukisema hapo kakosea kusema ina kuwa kama ni dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu nasema kama nilivyosema kwenye uzi mwingine our president hajui kuongea hana diplomatic language ukijumlisha na ukanda aliotoka mie ndio nachoka na sijui kama hajaongelea wezi na kuibiwa kama kawaida yake sijasikiliza hotuba lakini najua hakuna jipya kusema yote hayo ni matokeo ya lowasa kwenye kampeni za Uhuru kule masaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi Magufuli anakera sana kwenye kuongea na hili wala simtetei.(Hajui kuzungumza na watu kabisa, ujuaji mwingi na hekima ya kiungozi hana)

Ndiyo madhifu yake haya.
Mzee Kikwete na Mzee Pinda walishayajua haya mapema na ndiyo maana hawakupenda jamaa awe raisi kabisa. Walifanya naye kazi walikuwa wanamjua nje na ndani.

Lakini suala la wewe kuhusisha Ukanda ambao Raisi Magufuli anatokea na tabia zake hizi mbovu ni kutotenda haki ya MUNGU ambayo wewe hapa umeizungumzia kiunafiki. Umewatukana Wasukuma, Wanyamwezi, Wakurya, Wahaya, Watutsi, Wahutu na nk kwa chuki zako binafsi.

Hebu nikuulize Mzee Nyerer raisi mwenye busara kuwahi tokea Tanzania alitokea ukanda upi?

Pili,
Diplomasia siyo lugha.
Diplomacy is an art of maintaining Communication between or among the nation states from Consular to Plenipotentiary levels: In the light of the broader periphery of International law with regard to municipal law, Sovereignty and national interests.

Hiyo ndiyo Diplomasia na siyo blah blah mnazotaka kutuleta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom