Wandimazzz
Member
- Jul 6, 2017
- 20
- 10
K
Kwa lipi sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa lipi sasa?
Kweli kama sio threat ya al shabaab tungelisikia tu hilo bomba kwenye tv zaoWanasiasa wasikilize, kamwe usiwaamini. Unajua aliefanikisha bomba la mafuta toka Uganda kupitia Tanzania ni El-shababu? Pole sana.
Na cocochanelNgoja Jingalao aje!
Kuwa makini aisee, oohhhhooooMagufuli ni rais mjinga kabisa aliyewahi kutokea Tanzania.
Anaweza kusababisha vita ya kijinga sana. Kwa kauli zake za ovyo ovyo tu.
Sent from my Kimulimuli
Kuwa makini ni pamoja na kusema ukweli.Kuwa makini aisee, oohhhhoooo
To return respect with respect and ridicule with even greater ridicule has always been my character.Hahahaaa....see...
This is the change I'm talking about.
It is so out of character.
Come on bruh....
You are a wimp with neither backbone nor skull.What do you know about skulls?Those words above depicts what fills your skull.
Pole sana
To return respect with respect and ridicule with even greater ridicule has always been my character.
Like The Peace of Westphalia, I give reciprocity a premium highly placed among my cardinal rules.
Perhaps this character never had so much opportunity to show.
I can be a sophisticated debonair gentleman with all the courtly savoir-faire of a modern day refined renaissance man, when appropriate.
Or I can go loco like a deranged thug.
Depending on how a mf rubs me.
Rais wa Kenya anatutukana "mubashara"?Hata Wakenya mbona huwa wanatutukana sana kwenye vyombo vyao vya habari, ina maana huo Ujirani mwema ni kwetu tu ila kwao hapana?
Najua utajibu kuwa Magufuli ni kiongozi wa nchi lakini wewe fuatilia vizuri bubge la Kenya na hata lile sakati la utalii utaona jinsi walivyomtukana Nyalandu na Kikwete.
Wakenya ni watu wa hovyo sana,
Wala Magufuli asiwachekee hata kidogo.
Nchi ni lazima ifanye biashara kama hawataki mahusiano basi wakafie mbele huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmebakia mipasho tu...nchi yenu elimu duni, uchumi duni, akili duni, afya duni, hamna muelekeo mna kazi ya kuongozwa na matamko tu...
Kuna majizi yalishamatwa 1947, na jizi na dhulmati manji limekamatwa. So usishangae jizi chenge likija kukamatwa 2020 na kama unaona linatakiwa kukamatwa haraka huyo ni wewe na akili zako!Nimekupata. . na kama kweli wako serious na majizi ,,,,, wengi wangetiwa korokoroni,,,,,ila kwa huyu , kama vile kuna jambo silielewi......the is something behind the curtain....... Iam telling u,,,,,,,hakuna jizi kama CHENGE lakini liko mtaani linapeta.
Una uhakika? Au upo vyombo weekend hiiMagufuli ni rais mjinga kabisa aliyewahi kutokea Tanzania.
Anaweza kusababisha vita ya kijinga sana. Kwa kauli zake za ovyo ovyo tu.
Sent from my Kimulimuli
Hujawahi kusikia wala kuona?Rais wa Kenya anatutukana "mubashara"?
Raisi Magufuli anakera sana kwenye kuongea na hili wala simtetei.(Hajui kuzungumza na watu kabisa, ujuaji mwingi na hekima ya kiungozi hana)Kuna watz nashindwa kuwaelewa kila kitu mtu anataka kukijibu hata kwa hili la overspeaking kuna mtu anatoa mchango kuwa mbona Kenya na wao huwa wanasema this is foolish huyu kiongozi yeye ni mungu kuwa ukisema hapo kakosea kusema ina kuwa kama ni dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu nasema kama nilivyosema kwenye uzi mwingine our president hajui kuongea hana diplomatic language ukijumlisha na ukanda aliotoka mie ndio nachoka na sijui kama hajaongelea wezi na kuibiwa kama kawaida yake sijasikiliza hotuba lakini najua hakuna jipya kusema yote hayo ni matokeo ya lowasa kwenye kampeni za Uhuru kule masaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv kila anaekuwa against Magufuri ama serikali ni Chadema? au anae-support kazi za serikali ni CCM?Chadema mna nini