Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
CCM ni kubwa kuliko mtu.
Wapo watu wanatengeza safu za watu dhaifu ili waje kuwasaidia huko mbele ya safari.
CCM si ya watu dhaifu bali chagueni watu wenye weredi na wachapakazi ili wakijenge chama chetu.
Chongolo.