Chongolo: Kazi ya siasa sio uongo bali ni kuombeana mema

Baraka Mina

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
586
Reaction score
590
#NUKUU YA WIKI: Kutoka kwa Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.

"Kazi ya siasa sio uongo, majungu, fitina, umbea wala kusingiziana. Kazi ya siasa ni kuombeana mema, kupendana, kushikamana na kunenea mema wenzio."

Ziara ya Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Muleba - Kagera, 14 Novemba 2021.

#NukuuYaWiki
#SautiYaChongolo
#KaziIendelee

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…