MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hata mwendazake ndg zake wengine eti wako chigali.....Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa.
Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko, na wanatembeleana mara kadhaa.
Kwa Upande wa Mbowe amedai pia ujombani kwake Wana asili ya Nyeri nchini Kenya na hata akiwa Kenya huwa hakai hotelini, huwa anakaa nyumba za familia lakini bado alipata nafasi ya kuombea urais.
Amedai wapinzani wafanye kazi waache kutweet vitu vidogo vidogo.
Si muarabu anapewa Ngorongro na Loliondo.Panic hii imetokana na nini ?
Acheni kumuingiza JPM kwenye huu upuuzi...Mnaosakama Magufuli kuwa ana ndugu zake Burundi na jumuiya mrundi mumesikia? Benard Membe umesikia? Huna nduguzo Msumbiji? Unajitia mtanzania mzalendo wakati na wewe kwenu asili yenu Msumbiji
Lissu naye ana asili ya GambiaPanic hii imetokana na nini ?
Shida iko wapi sasaLissu naye ana asili ya Gambia
Nyeri...mwenyekiti!!Panic hii imetokana na nini ?
Waarabu Wana hela,hazina kazi..wacha wazilete kwa wasio na hela..zile chuki ulizofundishwa ukwata,ycs achana nazo,ni ujinga tuSi muarabu anapewa ngorongro na loliondo
Benard Membe alisema vetting haikufanyika vizuri kuwa mtu wa asili ya nje Magufuli akapewa uraisi yeye mbona asili yake Msumbiji mbona alipitishwa kugombea uraisi na alipewa vyeo kibao usalama wa taifa?Acheni kumuingiza JPM kwenye huu upuuzi...
Mwenye uchungu ni yule anayeuza ngorongoro.Ndiyo maana Mbowe na Zito hawana uchungu wowote na nchi hii, wanalamba asali tu