Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa.

Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko na wanatembeleana mara kadhaa.

Kwa Upande wa Mbowe amedai pia ujombani kwake Wana asili ya Nyeri nchini Kenya na hata akiwa Kenya huwa hakai hotelini, huwa anakaa nyumba za familia lakini bado alipata nafasi ya kuombea urais.

Amedai wapinzani wafanye kazi waache kutweet vitu vidogo vidogo.
Anazungumazia asili .... Maza yeye ni pure Muarabu ..... Na wajomba zake wanaishi Urarabuni. Hiyo ndiyo tofauti yake na Zitto!!
 
Sidhani kama shida ni kuwa na Ndugu..., shida ni Nepotism au viasharia vya Nepotism no matter ndugu wapo wapi?
 
Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa.

Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko na wanatembeleana mara kadhaa.

Kwa Upande wa Mbowe amedai pia ujombani kwake Wana asili ya Nyeri nchini Kenya na hata akiwa Kenya huwa hakai hotelini, huwa anakaa nyumba za familia lakini bado alipata nafasi ya kuombea urais.

Amedai wapinzani wafanye kazi waache kutweet vitu vidogo vidogo.
Mwenyewe Chongolo ana ndugu Malawi
 
Na mama anawajomba Omani, kwahiyo!
 
Kumbe zoba ndiyo maana wenzake wamemchomekea
 
Back
Top Bottom