Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

Halafu bado mnawalipa TISS WA kazi gani sijui? Nawaambia siku zote taasisi yenye shida kubwa nchi hii si Polisi ni TISS. Kuwa kiongozi wa nchi si Jambo dogo, Leo tunafikia kuwa na Kiongozi wa nchi mwenye ukoo mkubwa nje ya nchi kuliko nchini. Tusisingizie Obama na Marekani, hao vetting yao Inajulikana ilivyofanyika na kabla hata Obama hajaja Kenya dunia yote ilijua kuna Bibi na shangazi yake. Leo Sisi tunashitukizwa Kwa ziara ya Kwa Mjomba?
 
Siasa hizi
2010 kuna Vibabu vya Mchongo viliigiza vinatoka Malawi Lilongwe eti vimeenda Kilosa kumtafuta Mjukuu wao anaitwa Mustafa Mkulo …wakati huo Mkulo ni Waziri wa Fedha

eti aliingia Tanzania na Marehemu Mtoto wao akiwa na Mjukuu wao ambae ndio Mustafa

alipopoteza uwaziri na vile vizee vikayayuka
 
Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo amedai baadhi ya baba wa Zito ni wa Congo na hadi wa leo wanaishi huko Kivu ya kusini katika mji wa Bukavu.
Halafu anajitia ndie mzalendoooo na kuanzisha chama kinaitwa ACT wazalendo wakati asili yao kwao kongo

Na akina Benard Membe na Nape Nauye wamakua wenye asili ya Msumbiji kelele kila siku kuponda Magufuli kuwa hakuwa mzawa wao wenyewe kwani asili yao Tanzania?
Zitto Kabwe,Membe na Nape Nauye ndio wajifanya vinara sana utafikiri wao ndio raia sana wa wa Tanzania wakati wahamiaji tu
 
Nimimi tu asili yangu morogoro,, mnyakyusa (Tukuyu kwakanyasa)
 
Benard Membe alisema vetting haikufanyika vizuri kuwa mtu wa asili ya nje Magufuli akapewa uraisi yeye mbona asili yake Msumbiji mbona alipitishwa kugombea uraisi na alipewa vyeo kibao usalama wa taifa?
Ukute mpitishaji naye alikuwa sio!
 
Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa.
Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko, na wanatembeleana mara kadhaa.
Kwa Upande wa Mbowe amedai pia ujombani kwake Wana asili ya Nyeri nchini Kenya na hata akiwa Kenya huwa hakai hotelini, huwa anakaa nyumba za familia lakini bado alipata nafasi ya kuombea urais.
Amedai wapinzani wafanye kazi waache kutweet vitu vidogo vidogo.
Chongolo naye vipi? Yupo vizuri?
 
Back
Top Bottom