YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uliza Nape na Membe na hao wanaojiita wenye chama wazalendo ndio walikuza hayo mambo kumhusu magufuliChongolo ndio anakuza mambo,kwani mtu kuwa na ndugu zake Elsewhere ni shida?
What goes around comes around
Wakajisahau kuwa wao nao ni wa kuja