Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

Benard Membe mmakua asili take ikatokea Msumbiji yeye na Nape Nnauye lakini ndio vinara wa kujitia nchi hii ndio wao sana wazalendo!! Wazawa wako kimya!! Wao miyowe kibao Sisi ndio wenye nchi wenye chama nk Wakati asili yao nje ya nchi Hata Kinana asili yake Somalia

Kutukana Magufuli kuwa hana asili ya Tanzania kukome

Nchi hii tukiamua kuchambuana hapatatosha.Nyie wamakua wa Msumbiji akina Membe na Nape Nauye na wakongo akina Zitto Kabwe ,Nondo nk mkome kujitia wazawa sana na wazalendo sana nyie wahamiaji tu asili yenu sio Tanzania
Basi tukubali kuwa Mzalendo wa kweli ni yule mnaemwita shujaa wa Afrika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mwendazake ndg zake wengine eti wako chigali.....
Na mbona alipokuwa hai mlikuwa mnaropoka sana eti ana unasaba na nchi jirani. Sasa Mama yenu ana unasaba na waliowauza utumwani mababu zenu. Hapo vipi?
 
Kuumbe ndio maana kila nikimwangalia papa wemba naona Zito kama anakuja kuja hivi.

Halafu wanakesha kumnanga Magu kumbe wao ndio wana hali mbaya Zaidi.

Ni kawaida lakini asiye na haki kujikweza kuliko mwenye haki.
 
Hata kama wakiwa na wajomba huko, lakini hawajawahi kuwapa hao wajomba zao zawadi za wanyama wetu bure.
Kuna mmoja aligawa tausi wetu.,nimekumbuka kumbe tausi ni ndege siyo mnyama na wao ni jirani zetu
 
Benard Membe mmakua asili take ikatokea Msumbiji yeye na Nape Nnauye lakini ndio vinara wa kujitia nchi hii ndio wao sana wazalendo!! Wazawa wako kimya!! Wao miyowe kibao Sisi ndio wenye nchi wenye chama nk Wakati asili yao nje ya nchi Hata Kinana asili yake Somalia

Kutukana Magufuli kuwa hana asili ya Tanzania kukome

Nchi hii tukiamua kuchambuana hapatatosha.Nyie wamakua wa Msumbiji akina Membe na Nape Nauye na wakongo akina Zitto Kabwe ,Nondo nk mkome kujitia wazawa sana na wazalendo sana nyie wahamiaji tu asili yenu sio Tanzania
Hii nchi wenye haki ya kuimiliki wasio na mchangamano na mataifa mengine ni wagogo tu Hawa ndiyo wenye nchi
 
Watu wanajua kupepelea sanaa vyakula vyao
 
Hii nchi wenye haki ya kuimiliki wasio na mchangamano na mataifa mengine ni wagogo tu Hawa ndiyo wenye nchi
Sio wagogo tu huyo Chongolo katibu mkuu wa CCM hana ndugu hata nje ya nchi ukoo wake ukisikia wana ndugu nje ya mkoa alikozaliwa wako Dar es salaam hawajasoma vibarua wabeba nzege na house girl nk
 
Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko na wanatembeleana mara kadhaa.

Kwa Upande wa Mbowe amedai pia ujombani kwake Wana asili ya Nyeri nchini Kenya na hata akiwa Kenya huwa hakai hotelini, huwa anakaa nyumba za familia lakini bado alipata nafasi ya kuombea urais.
Siasa bhana.... Kazi kweli kweli
 
Siasa hizi
2010 kuna Vibabu vya Mchongo viliigiza vinatoka Malawi Lilongwe eti vimeenda Kilosa kumtafuta Mjukuu wao anaitwa Mustafa Mkulo …wakati huo Mkulo ni Waziri wa Fedha

eti aliingia Tanzania na Marehemu Mtoto wao akiwa na Mjukuu wao ambae ndio Mustafa

alipopoteza uwaziri na vile vizee vikayayuka
Teh teh 😂😂😂 umenivunja mbavu we teh teh 😂 hii nchi ina vituko Sana.

Umenikumbusha kwenye uchaguzi huo wa 2010, mgombea Urais wa Chadema kipindi hicho alifunguliwa kesi ya kuiba mke wa mtu...teh teh teh teh 😂😂😂
 
Back
Top Bottom