Chongolo: Mradi wa bandari ni wa CCM sio mtu mmoja

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.

Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.

NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
 
Mpuuzi sana, ile bandari sio ya CCM ni ya watanganyika, ndio maana tukatakiwa kutoa maoni yetu, wahuni wa CCM wakatufitini, watajutia ule uamuzi wao wa kishenzi.
 
View attachment 2689754

Imefikia mahala majibu kuhusu uwekezaji wa bandari yanakuja utadhani yanatoka kwenye droo ya bahati nasibu! Yaani ni kama vile Serikali imeandika majibu kwenye vijikaratasi na na kivitumbukiza kwenye boksi. Anayeuliza anaombwa aokote jibu toka kwenye boksi. Jibu utakalopata-lihusiane na swali lako au lisihusiane ndiyo bahati yako ya leo!

Watu wameuliza, mkataba ni wa myiaka mingapi, walipookota vikaratasi jibu likawa, "Dubai ni kampuni kubwa sana inaendesha bandari 50 Duniani". Wengine wakauliza, kandarasi ilitangazwa lini, wakabahatisha vikaratasi vinavyosema, "Wanaopinga wamenunuliwa". Hata sisi tuliouliza, kwa nini bandari za Zanzibar hazihusiki, juzi tumebahatisha kikaratasi kinachosema, "Wenzetu kwa kuona malumbano yetu, wamejamp, wamekwenda kulekule"

Atakayebahatisha kikaratasi kinachojibu swali lake moja kwa moja atutonye na sisi tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo sahihi nimradi wao ndomana kule bungeni mbunge mmoja akasema asiyeutaka huu mkataba ahame ccm,, kwahiyo huu nimgogoro wa watanzania na ccm maana hii inchi sio yawana ccm niya watanzania, lakini chakujiuliza mbona wameutekeleza huu mradi kinyume na Ilani yao? Chakushangaza wanainukuu ilani yao hadharani ikiwa tofauti nawalichofanya bila hata hofu,ilani inaitaka serikali kuendeleza bandari wao wamebinafsisha,,
 
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.

Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.

NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754

Amepasuka!
Je, Wanachama wote wa CCM walishirikishwa ktk hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watafika mahali wataweka hadharani
Majina ya wahusika wote…
Ni suala la muda.
Ni vema wakakumbuka Ports za Tanzania ni
Mali ya Taifa si ya Mali binafsi ya utawala
wa CCM.
 
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
Ila hawa watu hawa! Kauli gani hizi? Watanzania wamehoji vipengele vya msingi vyenye utata viboreshwe, still kila atokae huko akija anaongea kauli ambazo hazishabihiani na mapungufu yaliyoanishwa!!
 
Imefikia mahala majibu kuhusu uwekezaji wa bandari yanakuja utadhani yanatoka kwenye droo ya bahati nasibu! Yaani ni kama vile Serikali imeandika majibu kwenye vijikaratasi na na kivitumbukiza kwenye boksi. Anayeuliza anaombwa aokote jibu toka kwenye boksi. Jibu utakalopata-lihusiane na swali lako au lisihusiane ndiyo bahati yako ya leo!

Watu wameuliza, mkataba ni wa myiaka mingapi, walipookota vikaratasi jibu likawa, "Dubai ni kampuni kubwa sana inaendesha bandari 50 Duniani". Wengine wakauliza, kandarasi ilitangazwa lini, wakabahatisha vikaratasi vinavyosema, "Wanaopinga wamenunuliwa". Hata sisi tuliouliza, kwa nini bandari za Zanzibar hazihusiki, juzi tumebahatisha kikaratasi kinachosema, "Wenzetu kwa kuona malumbano yetu, wamejamp, wamekwenda kulekule"

Atakayebahatisha kikaratasi kinachojibu swali lake moja kwa moja atutonye na sisi tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe ndiye James Gayo Mzee Kingo
 
Mpuuzi sana, ile bandari sio ya CCM ni ya watanganyika, ndio maana tukatakiwa kutoa maoni yetu, wahuni wa CCM wakatufitini, watajutia ule uamuzi wao wa kishenzi.
Hivi ww huwezagi kuongea bila kutukana ?Eti na ww ni GT? ongea kinyume lakini bila kutukana
 
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.

Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.

NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Halafu bado kuna watu wanahangaika na issue ya bandari. Ni kupoteza muda tu.
 
Mpuuzi sana, ile bandari sio ya CCM ni ya watanganyika, ndio maana tukatakiwa kutoa maoni yetu, wahuni wa CCM wakatufitini, watajutia ule uamuzi wao wa kishenzi.
Huna lolote wewe!
Huishi kulialia humu wakati huna impact yeyote kwenye maamuzi ya wenye bandari yao
 
Imefikia mahala majibu kuhusu uwekezaji wa bandari yanakuja utadhani yanatoka kwenye droo ya bahati nasibu! Yaani ni kama vile Serikali imeandika majibu kwenye vijikaratasi na na kivitumbukiza kwenye boksi. Anayeuliza anaombwa aokote jibu toka kwenye boksi. Jibu utakalopata-lihusiane na swali lako au lisihusiane ndiyo bahati yako ya leo!

Watu wameuliza, mkataba ni wa myiaka mingapi, walipookota vikaratasi jibu likawa, "Dubai ni kampuni kubwa sana inaendesha bandari 50 Duniani". Wengine wakauliza, kandarasi ilitangazwa lini, wakabahatisha vikaratasi vinavyosema, "Wanaopinga wamenunuliwa". Hata sisi tuliouliza, kwa nini bandari za Zanzibar hazihusiki, juzi tumebahatisha kikaratasi kinachosema, "Wenzetu kwa kuona malumbano yetu, wamejamp, wamekwenda kulekule"

Atakayebahatisha kikaratasi kinachojibu swali lake moja kwa moja atutonye na sisi tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo moment kuulizauliza
 
Kwani swali la mkataba wa miaka mingapi halijajibiwa? Si mmeambiwa muda wa mkataba utawekwa kwenye mikataba mahususi ya uwekezaji? Shida iko wapi?
Imefikia mahala majibu kuhusu uwekezaji wa bandari yanakuja utadhani yanatoka kwenye droo ya bahati nasibu! Yaani ni kama vile Serikali imeandika majibu kwenye vijikaratasi na na kivitumbukiza kwenye boksi. Anayeuliza anaombwa aokote jibu toka kwenye boksi. Jibu utakalopata-lihusiane na swali lako au lisihusiane ndiyo bahati yako ya leo!

Watu wameuliza, mkataba ni wa myiaka mingapi, walipookota vikaratasi jibu likawa, "Dubai ni kampuni kubwa sana inaendesha bandari 50 Duniani". Wengine wakauliza, kandarasi ilitangazwa lini, wakabahatisha vikaratasi vinavyosema, "Wanaopinga wamenunuliwa". Hata sisi tuliouliza, kwa nini bandari za Zanzibar hazihusiki, juzi tumebahatisha kikaratasi kinachosema, "Wenzetu kwa kuona malumbano yetu, wamejamp, wamekwenda kulekule"

Atakayebahatisha kikaratasi kinachojibu swali lake moja kwa moja atutonye na sisi tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.

Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.

NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Wanatafuta wa kufa nae, ole wao waje wamkane Samia kama wanavyomkana Magufuli
 
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.

Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.

NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Huyu ni kiongozi wa chama cha siasa ama cha majambazi. Majambazi wakidhamiria kuvamia pahala hawapigi hodi, hawaombi ruhusa wala ushauri kwa mtu. Chama cha siasa ni mali ya wanachama wenye malengo ya kuongoza serikali. Kiongozi wa chama anapojigamba kwamba atafanya mambo bila kuzungatia maoni ya wenye nchi anaacha kuwa kiongozi wa chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom