Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Yupo sahihi nimradi wao ndomana kule bungeni mbunge mmoja akasema asiyeutaka huu mkataba ahame ccm,, kwahiyo huu nimgogoro wa watanzania na ccm maana hii inchi sio yawana ccm niya watanzania, lakini chakujiuliza mbona wameutekeleza huu mradi kinyume na Ilani yao? Chakushangaza wanainukuu ilani yao hadharani ikiwa tofauti nawalichofanya bila hata hofu,ilani inaitaka serikali kuendeleza bandari wao wamebinafsisha,,SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Sikio la dawa halisikii kufaSG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Ila hawa watu hawa! Kauli gani hizi? Watanzania wamehoji vipengele vya msingi vyenye utata viboreshwe, still kila atokae huko akija anaongea kauli ambazo hazishabihiani na mapungufu yaliyoanishwa!!Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Kumbe wewe ndiye James Gayo Mzee KingoImefikia mahala majibu kuhusu uwekezaji wa bandari yanakuja utadhani yanatoka kwenye droo ya bahati nasibu! Yaani ni kama vile Serikali imeandika majibu kwenye vijikaratasi na na kivitumbukiza kwenye boksi. Anayeuliza anaombwa aokote jibu toka kwenye boksi. Jibu utakalopata-lihusiane na swali lako au lisihusiane ndiyo bahati yako ya leo!
Watu wameuliza, mkataba ni wa myiaka mingapi, walipookota vikaratasi jibu likawa, "Dubai ni kampuni kubwa sana inaendesha bandari 50 Duniani". Wengine wakauliza, kandarasi ilitangazwa lini, wakabahatisha vikaratasi vinavyosema, "Wanaopinga wamenunuliwa". Hata sisi tuliouliza, kwa nini bandari za Zanzibar hazihusiki, juzi tumebahatisha kikaratasi kinachosema, "Wenzetu kwa kuona malumbano yetu, wamejamp, wamekwenda kulekule"
Atakayebahatisha kikaratasi kinachojibu swali lake moja kwa moja atutonye na sisi tafadhali!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ww huwezagi kuongea bila kutukana ?Eti na ww ni GT? ongea kinyume lakini bila kutukanaMpuuzi sana, ile bandari sio ya CCM ni ya watanganyika, ndio maana tukatakiwa kutoa maoni yetu, wahuni wa CCM wakatufitini, watajutia ule uamuzi wao wa kishenzi.
Halafu bado kuna watu wanahangaika na issue ya bandari. Ni kupoteza muda tu.SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Huna lolote wewe!Mpuuzi sana, ile bandari sio ya CCM ni ya watanganyika, ndio maana tukatakiwa kutoa maoni yetu, wahuni wa CCM wakatufitini, watajutia ule uamuzi wao wa kishenzi.
Ndo moment kuulizaulizaImefikia mahala majibu kuhusu uwekezaji wa bandari yanakuja utadhani yanatoka kwenye droo ya bahati nasibu! Yaani ni kama vile Serikali imeandika majibu kwenye vijikaratasi na na kivitumbukiza kwenye boksi. Anayeuliza anaombwa aokote jibu toka kwenye boksi. Jibu utakalopata-lihusiane na swali lako au lisihusiane ndiyo bahati yako ya leo!
Watu wameuliza, mkataba ni wa myiaka mingapi, walipookota vikaratasi jibu likawa, "Dubai ni kampuni kubwa sana inaendesha bandari 50 Duniani". Wengine wakauliza, kandarasi ilitangazwa lini, wakabahatisha vikaratasi vinavyosema, "Wanaopinga wamenunuliwa". Hata sisi tuliouliza, kwa nini bandari za Zanzibar hazihusiki, juzi tumebahatisha kikaratasi kinachosema, "Wenzetu kwa kuona malumbano yetu, wamejamp, wamekwenda kulekule"
Atakayebahatisha kikaratasi kinachojibu swali lake moja kwa moja atutonye na sisi tafadhali!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi ni Jr[emoji769]Kumbe wewe ndiye James Gayo Mzee Kingo
Imefikia mahala majibu kuhusu uwekezaji wa bandari yanakuja utadhani yanatoka kwenye droo ya bahati nasibu! Yaani ni kama vile Serikali imeandika majibu kwenye vijikaratasi na na kivitumbukiza kwenye boksi. Anayeuliza anaombwa aokote jibu toka kwenye boksi. Jibu utakalopata-lihusiane na swali lako au lisihusiane ndiyo bahati yako ya leo!
Watu wameuliza, mkataba ni wa myiaka mingapi, walipookota vikaratasi jibu likawa, "Dubai ni kampuni kubwa sana inaendesha bandari 50 Duniani". Wengine wakauliza, kandarasi ilitangazwa lini, wakabahatisha vikaratasi vinavyosema, "Wanaopinga wamenunuliwa". Hata sisi tuliouliza, kwa nini bandari za Zanzibar hazihusiki, juzi tumebahatisha kikaratasi kinachosema, "Wenzetu kwa kuona malumbano yetu, wamejamp, wamekwenda kulekule"
Atakayebahatisha kikaratasi kinachojibu swali lake moja kwa moja atutonye na sisi tafadhali!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatafuta wa kufa nae, ole wao waje wamkane Samia kama wanavyomkana MagufuliSG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
View attachment 2689754
Huyu ni kiongozi wa chama cha siasa ama cha majambazi. Majambazi wakidhamiria kuvamia pahala hawapigi hodi, hawaombi ruhusa wala ushauri kwa mtu. Chama cha siasa ni mali ya wanachama wenye malengo ya kuongoza serikali. Kiongozi wa chama anapojigamba kwamba atafanya mambo bila kuzungatia maoni ya wenye nchi anaacha kuwa kiongozi wa chama cha siasa.SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.