Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kumbe huyu mzee ni mpuuzi hivi?"...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi...
Kweli kabisa"...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi...
Huyo mshamba tu!! Trump juzi alikuwa na mikutano majimboni anamjambisha Bidden"...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nch...
Kumbe huyu mzee ni mpuuzi hivi?
Wala usizungumzie popote duniani hata hapa nchi za jirani shughuli za kisiasa ikiwemo mikutano ya hadhara ni miaka yote siyo wakati wa kampeni tu."...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi...
Huyu ni katibu wa chama kikongwe cha siasa barani Africa,anaongea namna hii."...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi...
Maharage gani kala huyu?? Baada ya uchaguzi kuna kukijenga chama. Mbona yeye na mtumbo wake hakai ofisini?"...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi...
Hiyo dunia anayozungumzia Bw. Chongolo haipo ulimwengu huu, itakuwa anaota ndoto!"...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi...
Bila hizi Porojo Chadema watakosa fedha za mabeberu na akina Heche watakufa njaa"...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi....