Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria.

CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha.

CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu.

20230205_171533.jpg

Acha vijana wabeti
 
Usiposikia la mkuu.....?

Promotion ya betting Tz ni hatari mno
 
Awaambie viongozi wa serikali na CCM waache wizi, suala la kubeti ni maamzi ya mtu na Sasa sio vijana hata wazee na watu wenye pesa zao wanabeti. Kumpangia mtu chakufanya wakati umeshindwa kumtengenezea mazingira weseshi ni ujinga.
 
Hapo sasa !
 
ingekuwa anafanya kazi TRA asingekuwa anaongea hivi. ccm ni majitaka hata humu JF unawaona tu wanabwabwaja.

Watu walizoea kula nyama mtu hukosa sera ya kushawishi au kiufupi jipya ziro wala utambuzi
 
Hawa Viongozi Walipataje Elimu Zao Yaani Mambo Yapo Wazi Kabisa
AAnasemaWaache.
 
Back
Top Bottom