johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chama ndio taifa bwashee!Kwa hiyo chanjo ni maamuzi ya chama sio taifa?
Utasikia hivi karibuni hatua alizochukuliwa!
Hivi katibu mkuu wa chama ana mamlaka ya kusimamisha uzalishaji wa gazeti?Mambo ya mdiyo mzee kama kawaida......naona leo gazeti la Uhuru lifungiwa na katibu...........mbwa amemfuata mwenyewe hadi Msikitini View attachment 1888480
CCM ni chama cha kidemokrasia!Hahahahahaha hivi kumfukuza mtu maccm hadi kufanywe mchakato? Mbona yule dhalimu mwendazake alikuwa hafanyi mchakato?
Ndio!Hivi katibu mkuu wa chama ana mamlaka ya kusimamisha uzalishaji wa gazeti?
Kwa sheria ipi ?Ndio!
Kwa katiba ya CCM mmiliki wa gazeti!Kwa sheria ipi ?
Mh tuletee kifungu kinachompa mamlaka hayoKwa katiba ya CCM mmiliki wa gazeti!
Huwa anasajili magazeti? Hapo kajifunika shuka kichwani huku miguuni baridi la Njombe limekazanaHivi katibu mkuu wa chama ana mamlaka ya kusimamisha uzalishaji wa gazeti?