#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

Kwa hiyo chanjo ni maamuzi ya chama sio taifa?
Nami ndio nashangaa!
Maana chanjo ni hiari na kama waliopata wanaweza kuwaencourage wengine kupata hivyo hivyo na wasiopata wana haki ya kueleza wanachofikiri.
Lakini, si ni hawa hawa ambao msimamo wao walikataa kuwa corona haipo na chanjo hazitakiwi?? Sasa ni msimamo upi anaongelea.
Kweli nchi haiko katika mikono salama au ndio kama Lema alivyoandika ni kuchepusha mawazo ya watu juu ya mahojiano kama mahojiano
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maele!ezkezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Msimlishe maneno kasema kauli kinzani hajasema chanjo...wachonganyishi hamjambo....CCM ni taasisi inajua kujiendesha vizuri.
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maele!ezkezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Wachukuliwe hatua tu....

Chama bila ya NIDHAMU hakiendi....

#SiempreCCM
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maele!ezkezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Pole pole na gwajimama
 
Sawa Chongolo, wafukuzeni tu. Lkn kumbuka huyo mzanzibari soon atarudi kwao. Hapo ndipo utakapojua kwanini huku bara kunaitwa TANGA- na- NYIKA.
KUFUKUZWA hakujaanza leo...walifukuzwa wabara na Wazanzibari hayati Maalim Seif.....chama hakiendi bila ya NIDHAMU.....

#SiempreCCM
 
Hao ni wakufukuza bila mchakato, mkimaliza mchakato muwaundie Tume.
 
Wakimaliza ndani ya ccm wataanza kutushughulikia na sisi wananchi ambao kwa hiari yetu tumeamua tusichanjwe.
 
Ccm ni watu bogus kabisa, wakati wa Magufuli walikataa katakata chanjo na wakafagilia nyungu, sio makamu wa rais wala huyo waziri wa afya.

Leo Magufuli amekufa kila mmoja anamruka na kwa unafiki kama kawaida yao, wanafagilia chanjo ili IMF iipe Tanzania dola milion 574 kwa sababu uchumi uko taabani.
 
Back
Top Bottom