#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

Chanjo si ni jambo la hiyari!? Sasa kama wapo wale wenye kuhamasisha watu wenye hiyari wajitokeze kuchanjwa. Je! Kuna ubaya gani kuwepo pia watu wenye mtizamo tofauti kupaza sauti zao kuzipinga chanjo hizi?...
Yaani CCM Safari hii chanjo itaigawa ila CCM wengi hawataki Chanjo Chongolo na mama Samia wajiandae kufungashwa virago

Hawana Grass root informers nani anataka Chanjo kwenye Grassroot? Huyu Chongolo na Mama Samia vipi? Hawana informers?

Wanaishi hewani mawinguni? Wanaona Magufuli kuwa alikuwa mjinga? Magufuli Grassroot alitegemea Sana Grassroot informers wa chama na serikali

Mama Samia na Chongolo wanategemea akina Mulamula ambao leo wako London kesho New York hawajui Nini Kiko Grassroot
 
Aliyekwambia Gwajima na Polepole ni wakubwa kuliko CCM ni nani?

Kwanza Gwajima hajawahi kuiva itikadi za CCM zaidi ya kubebwa na hayati JPM.

Gwajima hana USHAWISHI ndani ya CCM jimboni Kawe zaidi ya kule kanisani kwake tu.

Polepole sikumbuki kumuona ndani ya madarasa ya itikadi ya CHAMA.

Ninamfananisha POLEPOLE na "projects" za kuwavutia baadhi ya watu kuja CCM....nje ya hapo Polepole ni mtupu na mwepesi KUPAMBANA ndani ya CCM.

Wakae kwa kutulia.
Kabla ya wao KUPAMBANA na katibu wetu Chongolo wajiandae KUPAMBANA na sisi UVCCM.

#SiempreCCM
#KaziIendelee
#ChanjoNiMuhimu
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maele!ezkezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika...
Utter nonsense! CCM waache huo uwendawazimu. Swala la chanjo sio swala la kisiasa ambalo mwanachama wa chama fulani anatarajiwa kufuata tu msimamo wa chama. Chama hakina monopoly ya maamuzi sahihi.

Wanaopinga chanjo wapigwe injili ya sayansi ya COVID-19 vaccines mpaka waokoke; sio kulazimisha watu. Sijawahi kuona kijiji chenye waumini wengi wa dini fulani kilichoamua kuwachukulia hatua wanakijiji wake ambao wana imani tofauti na ya walio wengi.
 
Yaani CCM Safari hii chanjo itaigawa ila CCM wengi hawataki Chanjo Chongolo na mama Samia wajiandae kufungashwa virago

Hawana Grass root informers nani anataka Chanjo kwenye Grassroot? Huyu Chongolo na Mama Samia vipi? Hawana informers?...
Sijui nini kinamkuta Rais wetu kila aongeapo na wanahabari. Nasema hivi kutokana na yaliyojili pale alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari na hata sasa kupitia mahojiano yake na Salum Kikeke wa BBC.

Ni ama Madam President anakwenda akiwa "improvised" ama analazimika tu kufanya "impromptu speaking" kwa "confidence" anayopewa. Nathubutu kusema washauri wake wa karibu ni wenye "subtle intention" wenye malengo tofauti ktk kinyang'anyiro cha nafasi aliyokuwanayo kwa mwaka 2025.

Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hii ni nukuu kuntu kutoka kwa Mzee Jakaya.
 
Nani wa kuweza kumbishia Mwenyekiti? Unakumbuka JPM alisema nini kama yeye angekuwa mwenyekiti kipindi ambacho NEC wanamuimbia JK kuwa wana imani na Lowassa?

Alisema palepale angefukuza nusu ya wajumbe wa NEC!Sasa hapo mwenyekiti si ni zaidi ya chama!
 
Kinara wa Chanjo aliyeleta haya yote Ni Mulamula .Mama Samia toka kipindi Cha Magufuli alikuwa muamini Corona Sana Tena mno .Huyu mama Ni mbishi mno na mkorofi very difficult to work with her.

Watendaji waliopo Mashahidi huyu hakufaa kuwa Raisi Bali kufanya kazi chini ya mtu mwingine .mjuaji wakati kichwani mweupe.Sema tu katiba imembeba lakini hamna Raisi Hapo.

Kuteua Mulamula sipingi sababu wakisafiri mfano Raisi aweza kuwa na mazungumzo ya Siri na waziri chumbani kuhusu maswala mazito asingekaa na waziri mwanaume

Lakini angempa hata Rose Migiro

Mulamula ndio kinara wa Chanjo ya Corona dalali was wazungu ndie kamyumbisha mama Samia kulipeleka taifa Chaka kuhusu Chanjo ya Corona

Architect mkuu wa Chanjo ya Corona Ni balozi Mulamula
Ndio mleta diplomacy ya Corona look Mungu akulaani Mulamula anyway 2025 sio mbali utaondoka na Samia wako
 
Nani wa kuweza kumbishia Mwenyekiti?Unakumbuka JPM alisema nini kama yeye angekuwa mwenyekiti kipindi ambacho NEC wanamuimbia JK kuwa wana imani na Lowassa?
Alisema palepale angefukuza nusu ya wajumbe wa NEC!Sasa hapo mwenyekiti si ni zaidi ya chama!
CCM ni chama Cha kijamaa.

Kwetu wajamaa ,mwenyekiti ni zaidi ya kila mtu.

Siempre mwenyekiti mh.SSH!

#KaziIendelee
 
Kinara wa Chanjo aliyeleta haya yote Ni Mulamula .Mama Samia toka kipindi Cha Magufuli alikuwa muamini Corona Sana Tena mno .Huyu mama Ni mbishi mno na mkorofi very difficult to work with her.Watendaji waliopo Mashahidi huyu hakufaa kuwa Raisi Bali kufanya kazi chini ya mtu mwingine .mjuaji wakati kichwani mweupe.Sema tu katiba imembeba lakini hamna Raisi Hapo...
Yehodaya wewe ni MNAFIKI.

Ninyi mlikuwa CCM kwa ajili ya JPM tu.

Ninyi hamjaiva itikadi ya CHAMA.

Mko kimaslahi na bendera fuata upepo tu.

Baada ya teuzi za UDC na UDED hukuonekana humu ndani ingekuwa mh.SSH amewateua leo hii mngeongea KAULI TOFAUTI.

CCM ni chama cha itikadi ya kijamaa na wajamaa walioiva kamwe HAWAMPINGI NA KUMTUSI MWENYEKITI KIASI HIKI.

JPM alipita ,CCM IPO.
SSH atapita CCM ITAENDELEA KUWEPO.

Mnaudhi kwa tabia zenu za utoto na umimi.

Nakukumbusha tu kuwa hakuna ALIYEBAKI SALAMA akipambana na MWENYEKITI WA CCM.

ENDELEENI KUUFUKUZA UPEPO

#SiempreCCM
#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoNiCCM
#KaziIendelee
 
Kinara wa Chanjo aliyeleta haya yote Ni Mulamula .Mama Samia toka kipindi Cha Magufuli alikuwa muamini Corona Sana Tena mno .Huyu mama Ni mbishi mno na mkorofi very difficult to work with her....
Mkuu Yehodaya, taratibu ndugu yangu. Naona leo umeaamua kufunguka kwa kupitiliza. CCM mna msemo; "heshimu kiti". Jipe nafasi kutoa maoni yako kabla hujaanza kumkosoa Mwenyekiti Taifa ambaye amekwisha kuchanjwa chanjo ya UVIKO 19.
 
Mkuu Yehodaya, taratibu ndugu yangu. Naona leo umeaamua kufunguka kwa kupitiliza. CCM mna msemo; "heshimu kiti". Jipe nafasi kutoa maoni yako kabla hujaanza kumkosoa Mwenyekiti Taifa ambaye amekwisha kuchanjwa chanjo ya UVIKO 19.
Mnafiki huyo.

Kwao CCM ni hayati JPM.

Waendelee KUUFUKUZA UPEPO.

#SiempreCCM
 
Back
Top Bottom