YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Yaani CCM Safari hii chanjo itaigawa ila CCM wengi hawataki Chanjo Chongolo na mama Samia wajiandae kufungashwa viragoChanjo si ni jambo la hiyari!? Sasa kama wapo wale wenye kuhamasisha watu wenye hiyari wajitokeze kuchanjwa. Je! Kuna ubaya gani kuwepo pia watu wenye mtizamo tofauti kupaza sauti zao kuzipinga chanjo hizi?...
Hawana Grass root informers nani anataka Chanjo kwenye Grassroot? Huyu Chongolo na Mama Samia vipi? Hawana informers?
Wanaishi hewani mawinguni? Wanaona Magufuli kuwa alikuwa mjinga? Magufuli Grassroot alitegemea Sana Grassroot informers wa chama na serikali
Mama Samia na Chongolo wanategemea akina Mulamula ambao leo wako London kesho New York hawajui Nini Kiko Grassroot