#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

Sawa Chongolo, wafukuzeni tu. Lkn kumbuka huyo mzanzibari soon atarudi kwao. Hapo ndipo utakapojua kwanini huku bara kunaitwa TANGA- na- NYIKA.
Mbona vitisho tena mzee? Kwani hao watakuwa wa kwanza kufukuzwa?
Vitisho ni tabia za kidikteta. Haujaridhika mahakama zipo.
 
Ccm ya leo ni handaki la takataka, ni bora ile ya jpm watu wengi walijiunga na chama kikawa na heshima yake. Ya huyu mama kiroboto ni uharo mtupu
 
Hivi katibu mkuu wa chama ana mamlaka ya kusimamisha uzalishaji wa gazeti?
Katibu mkuu si ndio mwenye chama kaka; na gazeti ni mali ya chama so mwenye gazeti kafungia gazeti lake, hapo sijaona tatizo lolote
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Chanjo ni hiari
Kama unataka chanja au usi chanje.

Kama katika jumuiya mume amua kuchanja na wengine hawajawafiq ni sawa lakini kama atakuwa anaeneza sumu kwa wengine ili wasichanje basi hawo mnahaki kuwatoa katika jumuiya yenu.

Wanao pinga chanjo na kueneza sumu katika CCM basi ni sawa kufukuzwa katika jumuiya hiyo.

Lakini katika nchi huwezi kuwatoa na huwezi kuwa tia hatiani.
 
Sawa Chongolo, wafukuzeni tu. Lkn kumbuka huyo mzanzibari soon atarudi kwao. Hapo ndipo utakapojua kwanini huku bara kunaitwa TANGA- na- NYIKA.
Wazalendo halisi ndani ya nchi ya Tanzania wako wachache mno wanaosimamia misingi bila kubadilishwa na mvumo wa upepo. CCM kwa sasa sio sehemu ya mtu muungwana kwenda nayo na kwavile wamemdhalilisha hayati JPM, HP, BAKakurwa, LOS, aliyekuwa kamanda wa Takukuru, aliyekuwa mkurugenzi wa TCRA, mkurugenzi wa TPA, nk hakuna atakayeunga mkono kwa vyovyote vile.

Hata kama watatumia dola, ulaghai na aina yoyote ya mbinu 2025 hawashindi kwa vyovyote vile, aliyewafungia kwenye chumba kaondoka na funguo, wakichonga funguo haitafungua kwa kuwa haina 'sensor' ya utambulisho. Laana itawatafuna mpaka watataja tu maovu yao kama alivyoanza kujidhalilisha msanii mmoja akidai alinyimwa kuambatana na makamu wa rais kwenye kampeni.

*Mgogoro ufuata ni kati ya CCM Vs SerikaliVsWatumishiVsBungeVsWabungeVsRaisVsWananchiVsTzVsZnz

Uadui wa kuangamizana waja haraka sana ndani ya chama chao na adui yako anahamasisha wasio na madaraka ya madaraka hayo washughulikiwe ipasavyo
 
Nakubaliana kwa asilimia kubwa na mawazo yako. CCM kwa Sasa ni dubwana lisiloaminika.
 
Usimlinganishe JPM na Samia. Mama hawezi kuwa hata na theluthi tu ya courage ya JPM. Sasa hivi Western superpowers wakimkomalia hata swala la same-sex marriage lazima atafanya U-turn!
Acheni mawazo mfu, nguvu za Rais wa nchi yetu siyo za binafsi ni za kitaasisi na taasisi ya urais hajabadilika kwahiyo ebu tuache kujidhalilisha wenyewe. Rais hawezi kuwa na nguvu kama hana support ya watu wake na hii inamaana kuwa wewe mmoja unapoacha kum support Rais aliyepo madarakani, unakuwa msaliti kwa nchi yako kabla ya yule aliyesimama katika nafasi ya urais.

Tumuunge mkono Rais wetu pale ambapo tumeshaamua kama nchi, ndiyo maana ya ile kura uliyopiga ili kumpa ridhaa Rais kusimama kwaniaba ya nchi katika maamuzi na utendaji wa serikali ndani na nje ya nchi. Hii itaongeza morale na confidence yake katika kuisimamia nchi. Kinyume chake ni kuyumbisha umoja wa kitaifa na hatimaye sote tukiyumba hakuna anayebaki salama

Mtu yeyote muungwana ana nidhamu na ni mtii kwa mamlaka inayo mwongoza. Ukikosa utii basi tambua thamani yako haipo siyo kwako, familia au taifa unaloishi.
 
Wewe kivuruge tu chama unafikiri una nguvu yeyote ndani ya chama.
Na hivyi wababe wote Mkapa,Magufuli,walitwaliwa na Bwana hakuna wa kudhibiti lolote litakalotokea
JK mwenyewe CCM ilikuwa imfie mikononi Mwendazake aliokoa jahazi.
Jaribu uone,si umelewa madaraka.
 
Sawa Chongolo, wafukuzeni tu. Lkn kumbuka huyo mzanzibari soon atarudi kwao. Hapo ndipo utakapojua kwanini huku bara kunaitwa TANGA- na- NYIKA.
Waache tu wanamdanganya mama wasije kumsababishia ya Joyce Banda.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Msimlishe maneno kasema kauli kinzani hajasema chanjo...wachonganyishi hamjambo....CCM ni taasisi inajua kujiendesha vizuri.

..nakumbuka party ya makonda kuiaga corona.

..nchi yetu ina viongozi wenye vituko sana.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nami ndio nashangaa!
Maana chanjo ni hiari na kama waliopata wanaweza kuwaencourage wengine kupata hivyo hivyo na wasiopata wana haki ya kueleza wanachofikiri.
Lakini, si ni hawa hawa ambao msimamo wao walikataa kuwa corona haipo na chanjo hazitakiwi?? Sasa ni msimamo upi anaongelea.
Kweli nchi haiko katika mikono salama au ndio kama Lema alivyoandika ni kuchepusha mawazo ya watu juu ya mahojiano kama mahojiano
Wanataka kuleta udikiteta nchi yenyewe bado imeparaganyika.
Mwendazake alifanya udikiteta huku uchumi ukienda.
Endeleeni kuiga kunya kwa tembo.
 
Yani mnaamua kuiua CCM kwa Sababu ya chanjo? This is very bad kwa kweli. Hivi mnajifunzaga kwa Nani? Duniani kote kuna Makundi yameikataa hii chanjo.mmesikia wakifukuzana?

Kwa taarifa yenu akipatikana mwanasheria nguli akaishtaki serikali hamtapata pakutokea. I tell you. Acheni kuisambaratisha CCM. Labda Kama kuna laana inawatafuna.
Wanajiona wamekuwa maarufu Sana.Huyu katibu anajiona Sasa yeye ni maarufu Kama Kinana.
Badala ya kuunganisha chama unataka kukimega?
 
Back
Top Bottom