Wazalendo halisi ndani ya nchi ya Tanzania wako wachache mno wanaosimamia misingi bila kubadilishwa na mvumo wa upepo. CCM kwa sasa sio sehemu ya mtu muungwana kwenda nayo na kwavile wamemdhalilisha hayati JPM, HP, BAKakurwa, LOS, aliyekuwa kamanda wa Takukuru, aliyekuwa mkurugenzi wa TCRA, mkurugenzi wa TPA, nk hakuna atakayeunga mkono kwa vyovyote vile.
Hata kama watatumia dola, ulaghai na aina yoyote ya mbinu 2025 hawashindi kwa vyovyote vile, aliyewafungia kwenye chumba kaondoka na funguo, wakichonga funguo haitafungua kwa kuwa haina 'sensor' ya utambulisho. Laana itawatafuna mpaka watataja tu maovu yao kama alivyoanza kujidhalilisha msanii mmoja akidai alinyimwa kuambatana na makamu wa rais kwenye kampeni.
*Mgogoro ufuata ni kati ya CCM Vs SerikaliVsWatumishiVsBungeVsWabungeVsRaisVsWananchiVsTzVsZnz
Uadui wa kuangamizana waja haraka sana ndani ya chama chao na adui yako anahamasisha wasio na madaraka ya madaraka hayo washughulikiwe ipasavyo