Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Wanafanana.....[emoji23][emoji23][emoji23] hawa ni mfano hai wa wafia dini.
Wanafiki hao....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafanana.....[emoji23][emoji23][emoji23] hawa ni mfano hai wa wafia dini.
Wafu, Tena waliooza na kunuka tu ndio wanasoma UhuruKwa katiba ya CCM mmiliki wa gazeti!
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
Huyu mbwiga baba ya muziki imemtafuna mbaya,ni hizo ARV tu ndiyo zinamnyanyua nyanyua
Kinara wa Chanjo aliyeleta haya yote Ni Mulamula .Mama Samia toka kipindi Cha Magufuli alikuwa muamini Corona Sana Tena mno .Huyu mama Ni mbishi mno na mkorofi very difficult to work with her.Watendaji waliopo Mashahidi huyu hakufaa kuwa Raisi Bali kufanya kazi chini ya mtu mwingine .mjuaji wakati kichwani mweupe.Sema tu katiba imembeba lakini hamna Raisi Hapo.
Kuteua Mulamula sipingi sababu wakisafiri mfano Raisi aweza kuwa na mazungumzo ya Siri na waziri chumbani kuhusu maswala mazito asingekaa na waziri mwanaume
Lakini angempa hata Rose Migiro
Mulamula ndio kinara wa Chanjo ya Corona dalali was wazungu ndie kamyumbisha mama Samia kulipeleka taifa Chaka kuhusu Chanjo ya Corona
Architect mkuu wa Chanjo ya Corona Ni balozi Mulamula
Ndio mleta diplomacy ya Corona look Mungu akulaani Mulamula anyway 2025 sio mbali utaondoka na Samia wako
Wameanza kupambana wenyewe kwa wenyewe, chanjo ni hiari kwa hiyo inabidi wakubaliane na wente mtazamo tofauti tusilazimishane. Hawa majamaa bure kabisaKatibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
Gwajima na Polepole tafuteni ndoo za kunyea!Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
Ingia ndani ya CCM ucheze hiyo ngoma.Mh tuletee kifungu kinachompa mamlaka hayo
MTAJI UMEPUKUTIKA, KWANINI MTU ASICHEZE KAMARI?
Magufuli mbona aliweza na alipata support ya majority ya watanzania kujifukizaWith or without Mulamula, chanjo ilikuwa swala la muda tu. Wewe achana na Mulamula wa watu; Mama hana guts za kwenda kinyume na Western superpowers.
Kuna wanasayansi wanakataa hakuna virusi vya ukimwi na pia kuna wanasayansi wanapinga chanjo.Hawana hoja yoyote hao akina Gwajima na Polepole ni wapumbafu tu, Sayansi huwa haina kubishana nayo, Sayansi siyo ulimwengu wa kiroho
Alichanjwa una ushahidi kuwa alichanjwa Johnson and Johnson ? Ukiambiwa thibitisha ushahidi unao? Au uliona tu Tv?Mkuu Yehodaya, taratibu ndugu yangu. Naona leo umeaamua kufunguka kwa kupitiliza. CCM mna msemo; "heshimu kiti". Jipe nafasi kutoa maoni yako kabla hujaanza kumkosoa Mwenyekiti Taifa ambaye amekwisha kuchanjwa chanjo ya UVIKO 19.
KWANI NI LAZIMA KUKUBALI CHANJO? Huo ni UDIKTETAKatibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
KWA NINI WASHUGHULIKIWE WATU KUTOA MAONI YAO AMBAYO NI HAKI KIKATIBI?Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
Magufuli mbona aliweza na alipata support ya majority ya watanzania kujifukiza
Huyu mama Mulamula from day one alipichaguliwa alionyesha wazi yeye Ni Waziri wa Corona
Tafuta Clip siku anaingia bungeni kuapa Wabunge wore bunge Zima hakuna aliyekuwa na barakoa isipokuwa yeye tu
Huyo mama ni shetani la Corona
Ndiye kamyumbisha mama Samia
Ila 2025 wote wanaondoka Samia na huyo Mulamula wake
Huyo Mulamula ndio injiniia wa ujinga wote wa chanjo .
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
Kwani na yeye ni mdau au anasingiziwa?Usimlinganishe JPM na Samia. Mama hawezi kuwa hata na theluthi tu ya courage ya JPM. Sasa hivi Western superpowers wakimkomalia hata swala la same-sex marriage lazima atafanya U-turn!