#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'
 
Kinara wa Chanjo aliyeleta haya yote Ni Mulamula .Mama Samia toka kipindi Cha Magufuli alikuwa muamini Corona Sana Tena mno .Huyu mama Ni mbishi mno na mkorofi very difficult to work with her.Watendaji waliopo Mashahidi huyu hakufaa kuwa Raisi Bali kufanya kazi chini ya mtu mwingine .mjuaji wakati kichwani mweupe.Sema tu katiba imembeba lakini hamna Raisi Hapo.

Kuteua Mulamula sipingi sababu wakisafiri mfano Raisi aweza kuwa na mazungumzo ya Siri na waziri chumbani kuhusu maswala mazito asingekaa na waziri mwanaume

Lakini angempa hata Rose Migiro

Mulamula ndio kinara wa Chanjo ya Corona dalali was wazungu ndie kamyumbisha mama Samia kulipeleka taifa Chaka kuhusu Chanjo ya Corona

Architect mkuu wa Chanjo ya Corona Ni balozi Mulamula
Ndio mleta diplomacy ya Corona look Mungu akulaani Mulamula anyway 2025 sio mbali utaondoka na Samia wako

With or without Mulamula, chanjo ilikuwa swala la muda tu. Wewe achana na Mulamula wa watu; Mama hana guts za kwenda kinyume na Western superpowers.

Ukitaka wapinge CCM tu kwa kujaribu kulazimisha watu wengine kufuata wanachokiamini wao. Inabidi watambue kuwa jumuiya ya wanasayansi nayo imegawanyika. Wapo ambao wanazikubali hizi chanjo kisayansi na wapo wanaozipinga kisayansi pia. Hivyo, CCM hawako sahihi kujaribu kulazimisha watu wafuate msimamo wa kambi ambayo wao wamechagua kuiamini!
 
Mbwa akiona wageni anatabia ya kujishaua kumbe uck nae tukilala anaogopa giza anaingia ndani kimyaaaa kbs km hayapo
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Wameanza kupambana wenyewe kwa wenyewe, chanjo ni hiari kwa hiyo inabidi wakubaliane na wente mtazamo tofauti tusilazimishane. Hawa majamaa bure kabisa
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Gwajima na Polepole tafuteni ndoo za kunyea!
 
MTAJI UMEPUKUTIKA, KWANINI MTU ASICHEZE KAMARI?
1628709691675.png
 
With or without Mulamula, chanjo ilikuwa swala la muda tu. Wewe achana na Mulamula wa watu; Mama hana guts za kwenda kinyume na Western superpowers.
Magufuli mbona aliweza na alipata support ya majority ya watanzania kujifukiza

Huyu mama Mulamula from day one alipichaguliwa alionyesha wazi yeye Ni Waziri wa Corona

Tafuta Clip siku anaingia bungeni kuapa Wabunge wore bunge Zima hakuna aliyekuwa na barakoa isipokuwa yeye tu

Huyo mama ni shetani la Corona

Ndiye kamyumbisha mama Samia

Ila 2025 wote wanaondoka Samia na huyo Mulamula wake

Huyo Mulamula ndio injiniia wa ujinga wote wa chanjo .
 
Hawana hoja yoyote hao akina Gwajima na Polepole ni wapumbafu tu, Sayansi huwa haina kubishana nayo, Sayansi siyo ulimwengu wa kiroho
Kuna wanasayansi wanakataa hakuna virusi vya ukimwi na pia kuna wanasayansi wanapinga chanjo.
 
Mkuu Yehodaya, taratibu ndugu yangu. Naona leo umeaamua kufunguka kwa kupitiliza. CCM mna msemo; "heshimu kiti". Jipe nafasi kutoa maoni yako kabla hujaanza kumkosoa Mwenyekiti Taifa ambaye amekwisha kuchanjwa chanjo ya UVIKO 19.
Alichanjwa una ushahidi kuwa alichanjwa Johnson and Johnson ? Ukiambiwa thibitisha ushahidi unao? Au uliona tu Tv?
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
KWANI NI LAZIMA KUKUBALI CHANJO? Huo ni UDIKTETA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
KWA
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
KWA NINI WASHUGHULIKIWE WATU KUTOA MAONI YAO AMBAYO NI HAKI KIKATIBI?
 
Magufuli mbona aliweza na alipata support ya majority ya watanzania kujifukiza

Huyu mama Mulamula from day one alipichaguliwa alionyesha wazi yeye Ni Waziri wa Corona

Tafuta Clip siku anaingia bungeni kuapa Wabunge wore bunge Zima hakuna aliyekuwa na barakoa isipokuwa yeye tu

Huyo mama ni shetani la Corona

Ndiye kamyumbisha mama Samia

Ila 2025 wote wanaondoka Samia na huyo Mulamula wake

Huyo Mulamula ndio injiniia wa ujinga wote wa chanjo .

Usimlinganishe JPM na Samia. Mama hawezi kuwa hata na theluthi tu ya courage ya JPM. Sasa hivi Western superpowers wakimkomalia hata swala la same-sex marriage lazima atafanya U-turn!
 
Chama kimekuwa ofisi ya mganga mkuu,Taifa,hatari kabisa
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
 
Chama kimekuwa ofisi ya mganga mkuu,Taifa,hatari kabisa
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
 
Usimlinganishe JPM na Samia. Mama hawezi kuwa hata na theluthi tu ya courage ya JPM. Sasa hivi Western superpowers wakimkomalia hata swala la same-sex marriage lazima atafanya U-turn!
Kwani na yeye ni mdau au anasingiziwa?
 
Back
Top Bottom