#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

Nilichoandika na ulichoandika vina uhusiano gani? Are you barking up the wrong tree?
 
Hawajui Kuna Makanisa na miskiti ipo kwenye maombi mazito kupinga swala la chanjo.

Hawajiulizi kwanini matukio ya wanafunzi kukimbia Mashuleni wakiogopa chanjo yameongezeka.
Je ninani aliyewaelimisha hawa watoto kuwa chanjo ni mbaya?
 
Wameanza kupambana wenyewe kwa wenyewe, chanjo ni hiari kwa hiyo inabidi wakubaliane na wente mtazamo tofauti tusilazimishane. Hawa majamaa bure kab
Au watangaze CCM wote lazima wachanjwe,tujue moja.
 
Hahahahahaha hivi kumfukuza mtu maccm hadi kufanywe mchakato? Mbona yule dhalimu mwendazake alikuwa hafanyi mchakato?
Dhalimu alikutandika akiwa hai na bado anakutandika akiwa mfu
 
Nilichoandika na ulichoandika vina uhusiano gani? Are you barking up the wrong tree?
May be you do not remember what you wrote...Kasome tena uone between me and you who is barking...
 
May be you do not remember what you wrote...Kasome tena uone between me and you who is barking...

Kwahiyo, unataka watu waseme Samia is as brave as or braver than JPM ndipo ujue wanamuunga mkono? You cannot institutionalize bravery. It’s a personal trait!
 
Kwahiyo, unataka watu waseme Samia is as brave as or braver than JPM ndipo ujue wanamuunga mkono? You cannot institutionalize bravery. It’s a personal trait!
Kwahiyo JPM was brave without taasisi ya urais?

Bravery is a subjective term...Huwezi kuwa brave kama huna uhakika na wanaokupa hiyo brave traits...Usiwe mmoja wa kum weaken Rais wetu, atleast timiza wajibu wako wa kiraia kumpa confidence...
 
Supporting a coward leader doesn’t make him or her brave. A brave leader doesn’t derive his or her bravery from his or her supporters. (S)he instead instills bravery and confidence in his or her supporters.

That’s why adui yuko radhi kutumia kila mbinu kuwawinda viongozi wa upande anaopambana nao. Anajua viongozi ndiyo source ya fighting spirit ya supporters wao.
 
Dah..hili neno kumshughulikia halina maadili mazuri.
Kwani mngesema wataadhibiwa si ingeeleweka?

Kumshughulikia mwanaume ni kumtusi.
 
Safi sana. Wachukuliwe hatua za kinidhamu haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…