Chongolo: Wazazi wafundisheni watoto tabia njema

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo amewakumbusha wazazi kuwalea watoto wao kwa misingi ya uadilifu na tabia njema.

Hayo ameyasema mbele ya hadhara aliposimama barabara huko Wilayani Kondoa anapoendelea na ziara yake Mkoani Dodoma.

Kidumu Chama cha Mapinduzi!

Your browser is not able to display this video.
 
Ni vigumu kwani CCM ndiyo inawafundisha tabia mbaya za udokozi.
 
Watoto wa CCM wana tabia njema kweli?mm nadhani tuanze na watoto wa CCM ambao hawana adabu kwa mama yao Tanzania.
 
Watoto wanajifunza nn hasa wakisikia viongoz wao wamefanya ufisadi wa kutisha tena kila report ya CAG ikitoka? Tuanzie hapo kwanza....
 
Hata kama wazazi wakiwafundisha tabia njema, wakiwa wakubwa kidogo wanaingizwa chipukizi, kisha UVCCM.

Huko ndiyo wanaenda kuharibiwa akili zao na kufundishwa mambo ya wizi, unafiki, uwongo, dhuluma na rushwa. Kazi yote nzuri iliyofanywa na wazazi, inakuwa imepotea bure.

CCM, kupitia kitengo chake cha UVCCM, ndiyo taasisi ya kuharibu maadili ya vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…