Si ya kucheka ila imenichekeshaMi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
kweli umenenaUsichutame juu ya sink ni too risk.
Mwaga maji kabla hujatumia
Weka tissue nyingi ndani na pembeni ya sink sehemu utakayokaa.
All in all havifai kwa matumizi ya public na kiufupi havina raha kabisa na huwezi kumaliza mzigo wote compared na mtu atakae tumia choo cha kuchutama make muscles zinakuwa tight na hivyo inakupa urahisi wa kujikinya.
hiii ndo njia sasaMimi Kwakweli hivi vyoo nikivikuta huwa natanguliza kwanza Toilet paper kwenye Round ya Choo ndo nakaa kama hazipo na shughuli naahilisha ya kukata gogo kiukweli hivi vyoo havifai kwa matumizi ya Umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiachia mzigo na wewe ruka kando kabla mzigo haujatua na kurusha majiMi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Mkuu nimeona nichangie kidogo kwenye comment yako ili kutoa faida kwa watumiaji wengine. Hoja yako kuhisi kuambukizana magonjwa ni hoja sahihi kabisaa! Lkn nilivyosoma michango mingi ya wachangiaji nadhani wengi kutokana mazoea tunaamini hayo ndo matumizi sahihi ya hivyo vyoo.Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Jaribuni kutembea kidogo nje ya nchi. Huwezi kukuta choo cha kuchuchumaa ukienda USA, EUROPR, Australia. Utafanyaje?? Kinachohitajika hapa ni USAFIIII. Tujitahidi kumuweka mtu wa usafi saa zote pale chooni.Kuna watu/jamii/nchi safi...vinatumika public na kila ukienda unakuta ni visafi....
Nakubali sio vizuri kuweka kalio alipoweka mtu mwingine kuna magonjwa.
Hahaha hahahah!!!Acha tu.niliwai panga nyumba INA choo cha hivyo kenya.wajaluo washakinyea mpaka basi kimejaa mpaka juu.yani nilikaa mwezi mmoja tu.asubui na mchana nashusha mzigo vyoo vya chuoni usiku nikiwa geto divi likinibana nilikua naviringisha ka mfuko naachia mzigo naurusha dirishani.hivyo vyoo Hamna labda kiwe chako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii style mkuu niliitumia sana nikiwa pale naishi pale ma hall ya udsm. Smt inabidi ushuke huku CoET ndo kuna vya kuchuchumaa.Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Wengi wamechangia na nimepitia comments Kama zote ila hii nadhani ndio jibu tosha.@Magode thanks nimekuelewa kwa kiasi kikubwa.Mkuu nimeona nichangie kidogo kwenye comment yako ili kutoa faida kwa watumiaji wengine. Hoja yako kuhisi kuambukizana magonjwa ni hoja sahihi kabisaa! Lkn nilivyosoma michango mingi ya wachangiaji nadhani wengi kutokana mazoea tunaamini hayo ndo matumizi sahihi ya hivyo vyoo.
Mkuu zile toilet paper zinazowekwa chooni,huwa ni maalum kwa ajili ya kuweka hapo juu ili ukae kuepuka kuchangia makalio na wengine. Zile siyo za kuchambia km watumiaji wengine wanavyodhani.
Kumbuka vyoo vya aina hiyo vinahitaji maji ya kutosha kwa ajili ya watumiaji na kufanyia usafi. Na ndo maana maji ya kusafishia baada ya kujisaidia yamewekewa pressure kali sana ili kuondoa uchafu.
Kuhusu Yale maji yaliyoko pale kwenye shimo la sink,yale ndo yanakata harufu ya choo,hivyo lazima yawepo na hayaepukiki kwa choo cha aina hiyo. Lkn km ulivyosema hayo maji kweli ni machafu,na ukijisaidia kwa kulenga shimo automatically yatakurukia.
Kukaa na kulenga shimo ni kutokujua matumizi ya choo,kile choo kimewekwa slop unatakiwa kujisaidia huku juu kwenye mlima wa sink ile utakapo-flash maji yatazoa kile kinyesi kutoka huko mlimani kuteremsha chini kwenye shimo.
Unajua kwa nn mzungu aliamua kuweka ujisaidie huku juu,hii inasaidia kukiona kinyesi chako umejisaidia cha aina gani,pengine kimechanganyika na damu au rangi isiyo ya kawaida. Hii inakusaidia kuonana na madaktari kujua shida ni nini na ndo maana sink la choo linawekwa rangi nyeupe ili kurahisha kuona. Matumizi ya choo cha shimo huwezi kuona kinyesi chako km kinashida au la!
Sent using Jamii Forums mobile app
We mlevi wewe, unamaanisha sisi wa Bush matimba yetu ni ya green sababu vegetables Kibao ama?[emoji2][emoji2]Wakikosea kidogo wakinesa kwa bahati mbaya timba kubwa lenye ukijani kutoka bush linaenda uolekeo wa sakafu hadi chini pwatwaah !!!
Sent using Jamii Forums mobile app