Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Sasa swala la choo na Samia vinauhusiajo gani..Inasikitisha sana. Halafu anakuja mtu anasema mama hana deni.
Hizi changamoto zilianza miaka na miaka, katika kila uongozi na awamu tumeona vyoo vya shule vya ajabu, shule za makuti na nyasi.Si uko pamoja na samia kamwambie
Ili achukue kikiKwenye mahafali mgeni rasmi aombwe mchango wa matundu ya vyoo kama kawaida 😁
Nae atapokea risala ataahidi kuleta, atakula pilau na kutokomeaIli achukue kiki
Inasikitisha sana. Halafu anakuja mtu anasema mama hana deni.