Uchaguzi 2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.

Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lisu lazima akae.

Maendeleo hayana vyama!
matumizi ya chopa kwenye kampeni ni ubunifu wa mwamba Freeman Aikaeli Mbowe.
imagine innovation itakavyotamalaki nchini pale chama chake kitakapokabidhiwa ikulu October!
 
Wananchi wanataka maji safi na ustawi bora wa maisha yao ya kila siku.
Sasa hiyo chopa itawasaidia nini wakati wanakunywa tope badala ya maji?
 
Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.

Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.

Maendeleo hayana vyama!
Alafu mnafikiri wananchi hawaoni uonevu wenu??? Juzi mmekataza Chadema kutumia chopa leo nyie mnatumia!!!!

Kwa udhalimu wenu huu lazima watanzania wote wawanyime kura mwaka huu!!
 
matumizi ya chopa kwenye kampeni ni ubunifu wa mwamba Freeman Aikaeli Mbowe.
imagine innovation itakavyotamalaki nchini pale chama chake kitakapokabidhiwa ikulu October!
October ya mwaka gani?
 
Hiyo helkopta mliyoipamba kwa kodi za wananchi inawasaidia wananchi wa Urambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…