Uchaguzi 2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

Uchaguzi 2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

Hahahahaaaaaaaa ! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ! Yaani wewe mkuu Loxodona sijui una shida gani jamani! Yaani nielewe uwezo wa mgombea wangu mara ngapi? Huyo wenu sitaki hata kumsikia akafanye mdahalo na mzee wa ubwabwa ! Wakwetu na tangible record ya utekelezaji wa ilani ta CCM
Sawa Mkuu. Ila mdahalo unasaidia zaidi wale ambao hawajui Kura Yao iende Kwa nani. Mimi na wewe hata mdahalo ufanywe Mwezi mzima naimani hauwezi kutufanya tumpigie Kura Mgombea tofauti na tunayetaka kumpigia Kura.

Hivyo, suala la Mdahalo bado ni muhimu Sana Kwa wapiga Kura walio wengi.
 
Hahahahaaaaaaaa ! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ! Yaani wewe mkuu Loxodona sijui una shida gani jamani! Yaani nielewe uwezo wa mgombea wangu mara ngapi? Huyo wenu sitaki hata kumsikia akafanye mdahalo na mzee wa ubwabwa ! Wakwetu na tangible record ya utekelezaji wa ilani ta CCM
Mkuu lazima utakuwa na shida sehemu, unless ukili kuwa wew no mataga

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Lengo kuu la mdahalo Ni Nini?
MAENDELEO ni kodi zetu

Hazikusanywi kwa kadi za vyama vyetu

Tusipewe kwa rangi zetu

Kuchaguliwa/kuchagua ni haki yetu

Kodi ni pesa ya watanzania wote

Wasipochagua chama chako usiwachukie

Wasipokupenda, wakikukosoa, usiwakasirikie

Wanalipa kodi, wapewe maendeleo, Usiwafokee
 
Ongeeni na wawakilishi wenu bungeni, waache kuwa wanakimbia mijadala muhimu ikiletwa bungeni.
 
Nimeapa na nimekata shauri ya kwamba sitakaa nipige kura tena katika maisha yangu. Mara ya mwisho kwangu kupiga kura ilikuwa 2015 na sitarudia tena. Wanasiasa wanawatumia "wananchi wapiga kura" kama ngazi za wao kufika juu kwenye mafanikio, wakati hao Wananchi wanabakia hapo hapo walipo bila ya kupata mafanikio yoyote yale. Binafsi nimekataa "kutumia kura" yangu kama daraja la kuwavusha Wanasiasa kutoka kwenye umaskini na kwenda kwenye UTAJIRI wakati mimi niliyepiga kura nabakia na UMASKINI wangu. Siku ya kupiga kura nitakaa zangu nyumbani nikiangalia movie, sina muda wa kupoteza. Atakaye chaguliwa na achaguliwe mimi I DON'T CARE!
 
Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.

Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.

Maendeleo hayana vyama!

Lisu lazima awatoe jasho safari hii ,Magufuli maji ya shingo, vp hatembei tena kwa miguu kuona shida za wanyonge kwa karibu
 
yaani juzi mmezuia ndege za Kenya leo mmeenda kukodi helicopter ya Kenya! Hiki kizungumkuti inabidi Lissu akiongeleee! Nangoja JPM aipande!

Owner: Simeon Nyachae
Model: Eurocopter AS350B3e
Registration: 5Y HSN
Built year: 1999
 
Ni kwanini hamtaki mdahalo?
Hivi pamoja na kusoma UK, huwezi kutofautisha President na lumpen! Hivi kweli Rais aache shughuli muhimu za kirais ati awe katika mdahalo na kichaa? You are not serious
 
An
Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.

Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.

Maendeleo hayana vyama!

Angalia Kodi za wanyonge,hayo magari . Mlimaliza kutudanganya mkipata 2025 mnakuja tena na mbinu mpya ya kupewa tena🙄
 
Mkuu lazima utakuwa na shida sehemu, unless ukili kuwa wew no mataga

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ni wewe tu na roho yako mkuu ! Niko njema sana kama walivyo watanzania kwa mamilioni.

I mean exactly what I say ! With my clear conscious and a sense of true judgement. Huko umatagani siko.
 
Back
Top Bottom