Uchaguzi 2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

Uchaguzi 2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.

Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.

Maendeleo hayana vyama!

Nguvu kubwaaaaaa kwa mtu ambae Hana dola, Hana lolote, ni matumizi mabaya ya resources
 
A leaders' debate or presidential debate is a public debate held during a general election campaign, where the candidatesexpose their political opinions and public policy proposals, and criticism of them, to potential voters.
Kwahiyo kampeni wanazofanya kwasasa, haziwasaidii kufikisha mawazo na vipaumbele vyao kwa wapiga kura 🤔?
 
Wananchi wanataka maji safi na ustawi bora wa maisha yao ya kila siku.
Sasa hiyo chopa itawasaidia nini wakati wanakunywa tope badala ya maji?
Chopa ya Lissu iliokua iendeshwe na kibabu kilicho above 65 years old ingeleta maji safi na salama ?
 
Vyombo vya habari vyote mmevigeuza vya kwenu ukifungulia redio Ni CCM, ukiwasha TV Ni mahabari ya maccm , ukiingia kwa huyo sijui Millard kwenye habari 10 ujue 8 za CCM zingine za udaku yaaan kusikia habar za Tundu lissu uje JF au baadhi ya YouTube channel kama Chadema media lakin Cha ajabu mnatumia nguvu nyiiiiiiingi kuliko akili

Naskia Upinzani Umekufa Tukutane Octoba 28
 
Juzi mlibeza chopa ya Chadema eti Magufuli hawezi kufanya kampeni angani anataka kukutana na wananchi barabarani, CCM ni vigeu geu sana.
CCM hawana ubunifu kabisa kazi ni kuiga kila kitu , kazi wanazoweza Ni zile za utekaji tu.
 
Vyombo vya habari vyote mmevigeuza vya kwenu ukifungulia redio Ni CCM, ukiwasha TV Ni mahabari ya maccm , ukiingia kwa huyo sijui Millard kwenye habari 10 ujue 8 za CCM zingine za udaku yaaan kusikia habar za Tundu lissu uje JF au baadhi ya YouTube channel kama Chadema media lakin Cha ajabu mnatumia nguvu nyiiiiiiingi kuliko akili

Naskia Upinzani Umekufa Tukutane Octoba 28
Hela za kuwalipa Hamna, hakuna mjinga wa kupoteza rasilimali zake kurusha mikutano yenu burebure.TBC inayoendeshwa kwa Kodi zenu si mliwafukuza kwa sifa🤔? Kuleni jeuri yenu😂😂.
 
CCM hawana ubunifu kabisa kazi ni kuiga kila kitu , kazi wanazoweza Ni zile za utekaji tu.
Kumbe kupanda chopa nao ni ubunifu..? Basi hata nyie Hamna ubunifu, kwasababu mmemuiga Diamond.Tunakoelekea mtakuja kusema hata kuanguka kwa mgombea wenu jukwaani ni ubunifu 😂😂.
 
Back
Top Bottom