johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Mbona prof Jay na Sugu mnawaona kila siku manka!Tunawashukuru kwa kutupa nafasi ya kuwaona wasanii karibu wote wa Tanzania kwenye kampeni zenu lakini kura zetu ni Tundu Lissu
Wewe Ni nafsi ngapi..?Tunawashukuru kwa kutupa nafasi ya kuwaona wasanii karibu wote wa Tanzania kwenye kampeni zenu lakini kura zetu ni Tundu Lissu
A leaders' debate or presidential debate is a public debate held during a general election campaign, where the candidatesexpose their political opinions and public policy proposals, and criticism of them, to potential voters.Lengo kuu la mdahalo Ni Nini?
Kwa kuwafokea wapiga kura.
mdahalo wa kazi gani ? kwan ww huwez kutofautisha mavi na mkojo? we tulia uliwe wakishiba watatuachia tuNi kwanini hamtaki mdahalo?
Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.
Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo kampeni wanazofanya kwasasa, haziwasaidii kufikisha mawazo na vipaumbele vyao kwa wapiga kura 🤔?A leaders' debate or presidential debate is a public debate held during a general election campaign, where the candidatesexpose their political opinions and public policy proposals, and criticism of them, to potential voters.
Nani kakwambia hiyo chopa atapanda Magufuli?Juzi mlibeza chopa ya Chadema eti Magufuli hawezi kufanya kampeni angani anataka kukutana na wananchi barabarani, CCM ni vigeu geu sana.
Chopa ya Lissu iliokua iendeshwe na kibabu kilicho above 65 years old ingeleta maji safi na salama ?Wananchi wanataka maji safi na ustawi bora wa maisha yao ya kila siku.
Sasa hiyo chopa itawasaidia nini wakati wanakunywa tope badala ya maji?
Nani kakwambia hiyo chopa atapanda Magufuli?
CCM hawana ubunifu kabisa kazi ni kuiga kila kitu , kazi wanazoweza Ni zile za utekaji tu.Juzi mlibeza chopa ya Chadema eti Magufuli hawezi kufanya kampeni angani anataka kukutana na wananchi barabarani, CCM ni vigeu geu sana.
Hela za kuwalipa Hamna, hakuna mjinga wa kupoteza rasilimali zake kurusha mikutano yenu burebure.TBC inayoendeshwa kwa Kodi zenu si mliwafukuza kwa sifa🤔? Kuleni jeuri yenu😂😂.Vyombo vya habari vyote mmevigeuza vya kwenu ukifungulia redio Ni CCM, ukiwasha TV Ni mahabari ya maccm , ukiingia kwa huyo sijui Millard kwenye habari 10 ujue 8 za CCM zingine za udaku yaaan kusikia habar za Tundu lissu uje JF au baadhi ya YouTube channel kama Chadema media lakin Cha ajabu mnatumia nguvu nyiiiiiiingi kuliko akili
Naskia Upinzani Umekufa Tukutane Octoba 28
Kumbe kupanda chopa nao ni ubunifu..? Basi hata nyie Hamna ubunifu, kwasababu mmemuiga Diamond.Tunakoelekea mtakuja kusema hata kuanguka kwa mgombea wenu jukwaani ni ubunifu 😂😂.CCM hawana ubunifu kabisa kazi ni kuiga kila kitu , kazi wanazoweza Ni zile za utekaji tu.
Wera weraaaaaaaa !!! Ngoma inogileeeee !Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.
Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.
Maendeleo hayana vyama!
Mdahalo unaleta maendeleo ?Ni kwanini hamtaki mdahalo?