Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hii kitu ndio ilimaliza uhai. Wa Fulikunjombe.Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.
Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.
Maendeleo hayana vyama!
Sawa Mkuu. Ila mdahalo unasaidia zaidi wale ambao hawajui Kura Yao iende Kwa nani. Mimi na wewe hata mdahalo ufanywe Mwezi mzima naimani hauwezi kutufanya tumpigie Kura Mgombea tofauti na tunayetaka kumpigia Kura.Hahahahaaaaaaaa ! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ! Yaani wewe mkuu Loxodona sijui una shida gani jamani! Yaani nielewe uwezo wa mgombea wangu mara ngapi? Huyo wenu sitaki hata kumsikia akafanye mdahalo na mzee wa ubwabwa ! Wakwetu na tangible record ya utekelezaji wa ilani ta CCM
mdahalo utakua na motion inayohusu nini,tafadhali?? Risasi kiuononi?? Au utopolo wa ndege hazifai huku nyie ndo no1 kuzitumia??Ni kwanini hamtaki mdahalo?
Mkuu lazima utakuwa na shida sehemu, unless ukili kuwa wew no matagaHahahahaaaaaaaa ! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ! Yaani wewe mkuu Loxodona sijui una shida gani jamani! Yaani nielewe uwezo wa mgombea wangu mara ngapi? Huyo wenu sitaki hata kumsikia akafanye mdahalo na mzee wa ubwabwa ! Wakwetu na tangible record ya utekelezaji wa ilani ta CCM
MAENDELEO ni kodi zetuLengo kuu la mdahalo Ni Nini?
Ongeeni na wawakilishi wenu bungeni, waache kuwa wanakimbia mijadala muhimu ikiletwa bungeni.MAENDELEO ni kodi zetu
Hazikusanywi kwa kadi za vyama vyetu
Tusipewe kwa rangi zetu
Kuchaguliwa/kuchagua ni haki yetu
Kodi ni pesa ya watanzania wote
Wasipochagua chama chako usiwachukie
Wasipokupenda, wakikukosoa, usiwakasirikie
Wanalipa kodi, wapewe maendeleo, Usiwafokee
Lisu lazima awatoe jasho safari hii ,Magufuli maji ya shingo, vp hatembei tena kwa miguu kuona shida za wanyonge kwa karibuKwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.
Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.
Maendeleo hayana vyama!
Lisu ndo dawa yakeJembe Hiloo
magufuli Hana Mpinzani
Magu anaona vumbi kuelekea final hours lazima atapetapeSi juzi tu mlisema anatumia gari ili asikie matatizo kiko wapi sasa?
Hii kitu mwenyekiti wa chama sijui kama atakipanda iesee ataona kama malaika wa zamu anamnyemelea vileHii kitu ndio ilimaliza uhai. Wa Fulikunjombe.
Hizo ni level za kina mnyika na zitoNi kwanini hamtaki mdahalo?
Hivi pamoja na kusoma UK, huwezi kutofautisha President na lumpen! Hivi kweli Rais aache shughuli muhimu za kirais ati awe katika mdahalo na kichaa? You are not seriousNi kwanini hamtaki mdahalo?
Angalia Kodi za wanyonge,hayo magari . Mlimaliza kutudanganya mkipata 2025 mnakuja tena na mbinu mpya ya kupewa tena🙄Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambi mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.
Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae.
Maendeleo hayana vyama!
Ni wewe tu na roho yako mkuu ! Niko njema sana kama walivyo watanzania kwa mamilioni.Mkuu lazima utakuwa na shida sehemu, unless ukili kuwa wew no mataga
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app