Chris Brown jukwaa moja na Alikiba Mombasa Kenya

Siku zinavyozidi kwenda nahisi kama Kiba kampora dai mganga wake vile.....Au kagundua chimbo la babu mkali zaidi kuliko wa mondi nini?
 
Kwa kenya wengi wanamkubali ally kiba maana wanapenda sana nyimbo za zaman hasa cinderellla
 
aiseeh!Mombasa mbali nnavyomfia dogo ingekua DSM ningevunja kibubu
 
Labda Chris Brown wa MANZESE ila si yule nimjuae anaeperform na wizkid
 
Mungu awazidishie Baraka
 
Mleta thread kama mchochez hvi.. alimfunika wapi diamond wakat aliingia kama saplies tena dakika ZA mwisho mwisho kwenye paformance.. hahahahaha
kuna watu wanaingia mwishoni....wanasepa na kijiji
 
Ila kiba alifunikwa na diamond mombasa
Niliangalia video youtube
 
hahah, haya mleta mada tutakufikishia bs ujumbe wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…