Show za kishikaji haziumiz watuacha uhuni KIBAKULI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Show za kishikaji haziumiz watuacha uhuni KIBAKULI
Show za kishikaji hahahaaaaUna PHD ya Ukichaa ww
Siku zinavyozidi kwenda nahisi kama Kiba kampora dai mganga wake vile.....Au kagundua chimbo la babu mkali zaidi kuliko wa mondi nini?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yooooo (in Kiba's voice)
Unachobisha nn sasaLabda Chris Brown wa MANZESE ila si yule nimjuae anaeperform na wizkid
Mungu awazidishie BarakaBaada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown. Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.
kuna watu wanaingia mwishoni....wanasepa na kijijiMleta thread kama mchochez hvi.. alimfunika wapi diamond wakat aliingia kama saplies tena dakika ZA mwisho mwisho kwenye paformance.. hahahahaha
Ila kiba alifunikwa na diamond mombasaBaada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown. Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.
Black coffee, I mean tayarMimi nisha vote wewe je?