Chris Brown na Wizkid kuipaisha Mombasa October 8th 2016

Chris Brown na Wizkid kuipaisha Mombasa October 8th 2016

Baada ya kuwalipa Pesa ya Madafu Diamond Platnumz na Ali Kiba kwa ajili ya kampeni, yule Governor nguli wa County 001, County ya Mombasa Ali Hassan Joho anawaleta Chris Brown na Wizkid mjini humo kwa ajili ya kutumbuiza.

Lengo la tamasha hilo ni kuufurahia mji wa Mombasa na kuufanya mji wa starehe na anasa/kitovu cha watalii East Africa na pia kuvutia Investors mbali mbali.

Bei za Entrance:View attachment 408460View attachment 408460
Kiingilio cha kawaida: Kshs.10,000 = Tshs.210,000

V.I.P: Kshs.20,000 =Tshs. 420,000

V.V.I.P: Kshs. 50,000 = Tshs. 1,050,000
Je kuna Surprise Nyingine this Time?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] show nzima unasimamia sassaaa!

Dar to Mombasa sio mbali. Ukitoka asubuhi saa moja unafika Mombasa saa nane/tisa. Nauli haifiki Tshs.30,000. Cant u sacrifice that then I'll handle the rest?
 
Safi, kwa wenzetu uchumi mzuri raiya wengi they afford
I wish ningekuwa vacation iyo tarehe.
 
Back
Top Bottom