Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
- Thread starter
- #21
Dah hicho kiingilio sio aise, unaweza ukajiandaa kwenda kwenye show lakini ukahairisha wakati wa kuhesabu
Hahaha. Mshahara wa mtu huo. Na maajabu ya Mombasa watu watajaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hicho kiingilio sio aise, unaweza ukajiandaa kwenda kwenye show lakini ukahairisha wakati wa kuhesabu
Je kuna Surprise Nyingine this Time?Baada ya kuwalipa Pesa ya Madafu Diamond Platnumz na Ali Kiba kwa ajili ya kampeni, yule Governor nguli wa County 001, County ya Mombasa Ali Hassan Joho anawaleta Chris Brown na Wizkid mjini humo kwa ajili ya kutumbuiza.
Lengo la tamasha hilo ni kuufurahia mji wa Mombasa na kuufanya mji wa starehe na anasa/kitovu cha watalii East Africa na pia kuvutia Investors mbali mbali.
Bei za Entrance:View attachment 408460View attachment 408460
Kiingilio cha kawaida: Kshs.10,000 = Tshs.210,000
V.I.P: Kshs.20,000 =Tshs. 420,000
V.V.I.P: Kshs. 50,000 = Tshs. 1,050,000
daaah![emoji23] tuma nauli
uchumi wa kenya upo juu aiseee
Je kuna Surprise Nyingine this Time?
You never know brother. Joho is full of surprises. He may bring 2pac from the dead.😀😀😀
You Already know, who's will appear as a Surprise Again. Save the date [emoji1] [emoji1]You never know brother. Joho is full of surprises. He may bring 2pac from the dead.😀😀😀
twende basiiC uende mombasaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] show nzima unasimamia sassaaa!Baada ya kukwambia nitasimamia Entrance bado unataka na nauli?
ksh 1 = Tsh 21. Fanya hisabati yako.mmh uwongo!!
viingilio kama nauli za kwenda bukinafaso na kurudi!!?
hivi ni kweli Ksh 10000 = Tzs 210000
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] show nzima unasimamia sassaaa!
Mwambie kibabu chako aisee acha n tafute kiserengetitwende basii
babu kashakubali kunipeleka fiestani!Mwambie kibabu chako aisee acha n tafute kiserengeti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali ntakuepo!Dar to Mombasa sio mbali. Ukitoka asubuhi saa moja unafika Mombasa saa nane/tisa. Nauli haifiki Tshs.30,000. Cant u sacrifice that then I'll handle the rest?
Kwahyo unatafuta wa mombasa naona kuna mdau kakupa off a changamka nae vzurbabu kashakubali kunipeleka fiestani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyambafuuKwahyo unatafuta wa mombasa naona kuna mdau kakupa off a changamka nae vzur
Ha ha ha ha wahi piemu utwahiwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyambafuu
Pm ngoja niifungeHa ha ha ha wahi piemu utwahiwaa
Roho Mbaya hyooPm ngoja niifunge