The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mkuu hela ni nyingi ukiwa huna. Inawezekana alipiga hela lakini akazitumia hovyo au kuwekeza kipuuzi. Pia jamaa kaonyesha ni mpenda mikopo hivyo usikute kuna mikopo ilimzingua.Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Kwanza haifai kuwa jambo la kawaida watu kutumia ukaribu wao na viongozi wakubwa kutaka wapate favours ya huduma za kijamii. Huyo Chris ni mshenzi kwa kutaka apate upendeleo kisa ukaribu wake na waziri.Hawa watu wakishapanda juu wanasahau waliowasaidia kufikia hapo, Acha na wao wajionee
Ana pesa ndefu, Kuna wakati alisema ana around 20BKigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Kwani lazima amtafutie yeye kama waziri? Alikuwa na uwezo wa kumuagiza Mtu amsaidie mwenzie kitandaSema Chris naye sio kabisa. Yaani waziri akutafutie kitanda?? Hamis ni bwege ila Chris naye bwege zaidi.
Hana b100 huyo, hata b 5 hana.Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Acha kutetea upumbavuKwani lazima amtafutie yeye kama waziri? Alikuwa na uwezo wa kumuagiza Mtu amsaidie mwenzie kitanda
hivi huo muda wa kufurahia au kusikitikia anguko la kisiasa kwa manasiasa mnaupata wapi ladies and gentleman?Tanzania born British self made billionaire almaarufu kama mzee wa madungu jeshi Chris Lukosi kafurahia masahibu yanayomkuta waziri na mbunge wa zamani Hamis Kigwangalla.
Mfanyabiashara huyo maarufu mwenye makazi yake jijini London alionesha kufurahishwa na mahasibu yanayomkumba sasa hivi mbunge huyo wa zamani na kuandika kwenye ukurasa wake wa FB.
View attachment 3573628
mrangi nyboma
bilioni 100 sio mandazi mkuu tena kwa Kigwangala. Uyo hta robo ya hiyo pesa hana, japo yawezekana anazo bilion kadhaa ila kwa 100 ni too far.Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Acha kuwakuza wanasiasa, ni watu kama wewe tuuSema Chris naye sio kabisa. Yaani waziri akutafutie kitanda?? Hamis ni bwege ila Chris naye bwege zaidi.
Kama wewe na makalio yako unavyofurahia kesi fake ya Lisu kila siku, gentleman huna akilihivi huo muda wa kufurahia au kusikitikia anguko la kisiasa kwa manasiasa mnaupata wapi ladies and gentleman?
siasa ni kujipanga jaman,
ikiwa huna msingi wako mwenyewe wa kisiasa huwezi anguka wala kuyumba, lakini hii siasa ya kushikwa mkono sijui kaa pale au hapa na kujisahau kwamba huna msingi imara wa hapo ulipowekwa, utaanguka tu na ikiwa waliokuweka hapo hawapo, utafedheheka sana.
ukishikwa shikilia vizuri.
Kweli mkuu huyo hajui kwamba Viongozi wengi siyo wafanyabiashara na hawajawahi kufanyabiashara, kwahiyo wanakua na pesa wakati wapo ofisini kwasababu kwenye ofisi za umma pesa zipo za kuchota tu na hazitafutwi, kwahiyo Kiongozi hakitoka ofisini anakua katoka kwenye njia ya pesa na njia hiyo inakua imeshikwa na mtu mwingine na pesa zote zinakua zinakata haziingii tena kwake na anakua anatumia zilizopo zikianza kupungua na Matumizi yanapungua kama alikua anasafiri kila mwezi kwenda Ulaya anakua aendi tena kwasababu alikua anasafiri kwa ticketing za bure za walipakodi, Ndiyo Maana Kiongozi akitoka Ikulu anakua hapendi kutoka moja kwa moja anapenda atoke Mguu mmoja, kwa mfano Kikwete kwenye awamu ya Magufuli alikua ana jishughulisha na Kilimo cha Mahindi na ufugaji muda mwingi alikua kujijini, lakini awamu hii muda wote yupo nje ya nchi kwasababu anatumia pesa za Walipakodi na Pale Ikulu bado yupo.Mkuu hela ni nyingi ukiwa huna. Inawezekana alipiga hela lakini akazitumia hovyo au kuwekeza kipuuzi. Pia jamaa kaonyesha ni mpenda mikopo hivyo usikute kuna mikopo ilimzingua.