Chris Lukosi naye afurahia masahibu ya Kigwangalla

Chris Lukosi naye afurahia masahibu ya Kigwangalla

Tanzania born British self made billionaire almaarufu kama mzee wa madungu jeshi Chris Lukosi kafurahia masahibu yanayomkuta waziri na mbunge wa zamani Hamis Kigwangalla.

Mfanyabiashara huyo maarufu mwenye makazi yake jijini London alionesha kufurahishwa na mahasibu yanayomkumba sasa hivi mbunge huyo wa zamani na kuandika kwenye ukurasa wake wa FB.

View attachment 3573628

mrangi nyboma
What goes around, comes around like a hoola hoop!!
 
Huyo haaminiki, akiwa waziri aliomba mkopo wa bodaboda mbili tu akanyimwa, sasa mtu kama kigwa ni wa kukopa bodaboda?
Ni watu wasiopenda kutumia vya kwao.. mara nyingi wakiwa kwenye madaraka wanapenda vya bwelele.
Sio ana njaa alitaka kutumia cheo chake, akakutana na muhindi mgumu
 
Hana b100 huyo, hata b 5 hana.

Juzi juzi kuelekea uchaguzi kaenda kulia lia kwa mzee fulani happ tabora apewe support arudi mjengoni.

Mzee kamjibu yeye yuko bize na jeshi, au kama akipenda ampeleke jeshini 😅😂
We jamaa ni fala 😂
kwaio jamaa apelekwe kuruta jkt😂😂
 
Tanzania born British self made billionaire almaarufu kama mzee wa madungu jeshi Chris Lukosi kafurahia masahibu yanayomkuta waziri na mbunge wa zamani Hamis Kigwangalla.

Mfanyabiashara huyo maarufu mwenye makazi yake jijini London alionesha kufurahishwa na mahasibu yanayomkumba sasa hivi mbunge huyo wa zamani na kuandika kwenye ukurasa wake wa FB.

View attachment 3573628

mrangi nyboma
Ila kigwangala nae amemjibu kashaomba yaishe
 
Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.

Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Kigwa hata bilioni 100?! Hata yeye atakuwa ameshtuka, labda labda milioni 50 nje ya mali za kudumu
 
Kinachonishangaza tu, ina maana Hamisi hadi umri ule wa kuteuliwa alikua hajui WALIMWEMGU walivyo?
Kweli common sense is not common to everyone.
 
Kigwa naye mpuuzi, una bil 20 unashinwa kujiendesha kila siku kulia lia mitandaoni. Kwa b20 si akanunue CHACMAN kadhaa aanzishe kampuni ya usafirishaji. Afanye importation ya dawa za binadam aje auze hapa. Ana pesa halafu hana business ideas?
 
Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.

Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Bilioni mia weeeee, una hata milioni mia, acha masikhara wewe, harambee ya ccm kufika bilioni mia iliyumba we unaleta mchezo dogo, tulia dogo maneno ya vijiweni yasikudanganye
 
siasa ya kushikwa mkono sijui kaa pale au hapa na kujisahau kwamba huna msingi imara wa hapo ulipowekwa, utaanguka tu na ikiwa waliokuweka hapo hawapo, utafedheheka sana.
Na wewe jiandae kisaikolojia. Siku bi Kiziwi akitolewa utaangukia pua kama ilivyokuwa kwa CHAWA mwenzako Musiba 2021
 
Alisema hivo na uhakika Hana milioni kumi cash kwa acc, hivi bilioni mia unaichukulia mchezo weeweee, tuna mzigo mzigo sana, kwa vijana wa hivi
Mtu anaitamka billion kirahisi kwa sababu tu yuko nyuma ya keyboard

Kuna watu ni wafanyabiashara wakubwa ila billion kwao ni ndoto hawana
Kuwa na billion sio swala dogo
 
Nime gundua una penda mabishano, hivi una jua mfuko kukata kwa aliye nacho si sawa na asiye nacho?

Nimesha kwambia he still got some balls,za kuvimbia 5-10 yrs, asipo Pata sahani tena ni kubaya
Sasa wee balls za kuvimbia miaka 10 ijayo bado unaona jana mawe mejii? Je hiyo 10yrs asipofika? Akaukata njiani?

Bas bhana Hela anazo.
 
Mtu anaitamka billion kirahisi kwa sababu tu yuko nyuma ya keyboard

Kuna watu ni wafanyabiashara wakubwa ila billion kwao ni ndoto hawana
Kuwa na billion sio swala dogo
Pale geita Kuna don anajihusisha na biashara za vinywaji changamshi kampuni yake hadi Zambia unapishana na gari zake, ila deni la bilioni nne tu lilimtoa kamasi,

Shida sahivi Kila mtu mchambuzi
 
Kigwa hata bilioni 100?! Hata yeye atakuwa ameshtuka, labda labda milioni 50 nje ya mali za kudumu
haha milion 50? Nini faida ya kuwa mbunge na waziri kwa muda wote huo? Achana na wizi, ukiwa na cheo inakua simple hata kupata connection kwenye biashara zako. Au wenzetu vyeo ndo wanadhani kila kitu hawafikirii nje ya box kama asemavyo yeye?
 
Back
Top Bottom