Chris Lukosi naye afurahia masahibu ya Kigwangalla

Chris Lukosi naye afurahia masahibu ya Kigwangalla

Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.

Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Nimeangalia hio video. Sijasikia akisema ana shida yoyote. Sana sana kaonesha jinsi watu walivyo wanafiki ukiwa nacho na usiookuwa nacho. Hata sisi tuna ndugu na jamaa wako hivyo. Nimemshanga tu kwamba alikuwa hajui hilo?!
 
Hamis Kigwangala ni mtoto wa mama.
Kukosa ubunge vilio kila siku,
Watanzania wote sasa wanajua kuwa Kingwangala analilia cheo ili arudishe marafiki zake.
Ujinga mtupu.
Kwani DK Hamisi sio tena mbunge wa Nzega....!??
 
Back
Top Bottom