makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
We unadhani pale akiwa waziri kaishapiga deals ngapi huyu kenge.. hana homa huyu ana ukwasi mkubwa sanaMmmh
Mmmh...Bilioni 100+ upate mda wa kujieleza mwananchi? Sidhani
We unadhani pale akiwa waziri kaishapiga deals ngapi huyu kenge.. hana homa huyu ana ukwasi mkubwa sanaMmmh
Mmmh...Bilioni 100+ upate mda wa kujieleza mwananchi? Sidhani
Mkuu, mtu huyu kahudumu uwaziri kwa muda gani?bilioni 100 sio mandazi mkuu tena kwa Kigwangala. Uyo hta robo ya hiyo pesa hana, japo yawezekana anazo bilion kadhaa ila kwa 100 ni too far.
Akose b5, aah sio kweli.. kwingine huko labda kupenda kitonga, hawapendi kutumia vya kwao.. huyu lazima awe na ukwasi wa kutoshaHana b100 huyo, hata b 5 hana.
Juzi juzi kuelekea uchaguzi kaenda kulia lia kwa mzee fulani happ tabora apewe support arudi mjengoni.
Mzee kamjibu yeye yuko bize na jeshi, au kama akipenda ampeleke jeshini 😅😂
Asili ya Ukweni kwao na ngome ya kwetu ni Moja, tuna tenganishwa na barabara tu.Akose b5, aah sio kweli.. kwingine huko labda kupenda kitonga, hawapendi kutumia vya kwao.. huyu lazima awe na ukwasi wa kutosha
B 100 kwenye upigaji ni parefu mkuu,manaake huwezi kupiga peke yako lazima muwe Wengi Hadi mfikishe kiasi hicho mtakua mmeshasanukiwa.We unadhani pale akiwa waziri kaishapiga deals ngapi huyu kenge.. hana homa huyu ana ukwasi mkubwa sana
Ndo maana namuonyaga mrembo wa taifa asiwahi thubutu kufanya partnerships yoyote kwenye kilimo😅🤣😂😆Partneship ya kibongo haifikagi mbali
Makaveli hiyo unayoiongelea ni dola millioni 40 kasoro. Unajenga stadium ya kubeba watu 30 elfu inaisha. Pamoja na upgaji huko uyo hajafika nakataa. Ila kwa B chini ya kumi sikupingi, pengne anazo.Mkuu, mtu huyu kahudumu uwaziri kwa muda gani?
Kabisaa.Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hana b100 huyo, hata b 5 hana.
Juzi juzi kuelekea uchaguzi kaenda kulia lia kwa mzee fulani happ tabora apewe support arudi mjengoni.
Mzee kamjibu yeye yuko bize na jeshi, au kama akipenda ampeleke jeshini [emoji28][emoji23]
Meji wee ni muongo sana, khaah.Asili ya Ukweni kwao na ngome ya kwetu ni Moja, tuna tenganishwa na barabara tu.
Na yule mzee aliye enda kumuomba support ni... wangu, namjua sana pei ya enzi hizo siyo ya Sasa.
Kahonga na kuomba msamaha Sana, ila kina fulani wame mpiga pini kali manena [emoji28]
Alisema anazo zaidi ya 20. Je hapo?Makaveli hiyo unayoiongelea ni dola millioni 40 kasoro. Unajenga stadium ya kubeba watu 30 elfu inaisha. Pamoja na upgaji huko uyo hajafika nakataa. Ila kwa B chini ya kumi sikupingi, pengne anazo.
kigwa huyu huyu aliye lia lia asapotiwe na wazee?, hela ya kula na kulala regency Mwaka mzima anayo.Meji wee ni muongo sana, khaah.
Kigwa hana shida yoyote. Lol
LAzima awe kapiga deals nyingiB 100 kwenye upigaji ni parefu mkuu,manaake huwezi kupiga peke yako lazima muwe Wengi Hadi mfikishe kiasi hicho mtakua mmeshasanukiwa.
Labda kama kaiboost kwenye biashara zake
Huyo haaminiki, akiwa waziri aliomba mkopo wa bodaboda mbili tu akanyimwa, sasa mtu kama kigwa ni wa kukopa bodaboda?Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Uongo! Kigwa hela anazo bhana.kigwa huyu huyu aliye lia lia asapotiwe na wazee?, hela ya kula na kulala regency Mwaka mzima anayo.
Shida ana washwa washwa, ana umia sana kuona bashe ana kula kuliko yeye [emoji28][emoji23]
Asiye na hela au aliye sema hana hela nani?, miradi yake mingi kipindi akiwa juu ili kufumba macho.Uongo! Kigwa hela anazo bhana.
Usidanganye hapa khaaah
Sio bodaboda mbili bhana, ilikuwa ana taka agawe kwa boda wa eneo lake ili wampigie chapuo.Huyo haaminiki, akiwa waziri aliomba mkopo wa bodaboda mbili tu akanyimwa, sasa mtu kama kigwa ni wa kukopa bodaboda?
Hela zitakuwa zimepungua au kuna dalili za kupungua. Kuishiwa mazima kama sisi ni ngumu mno. Hapo kuishiwa utakuta anapata taabu kuwa na 500m cash.Uongo! Kigwa hela anazo bhana.
Usidanganye hapa khaaah
Hata km kigwa ana hela nyingi sana bado.Asiye na hela au aliye sema hana hela nani?, miradi yake mingi kipindi akiwa juu ili kufumba macho.
He's a hustler with an ignorant mind, limbukeni.
Labda hivyoHela zitakuwa zimepungua au kuna dalili za kupungua. Kuishiwa mazima kama sisi ni ngumu mno. Hapo kuishiwa utakuta anapata taabu kuwa na 500m cash.