Chris Lukosi naye afurahia masahibu ya Kigwangalla

Uyu jamaa sidhani kama anaongopa,mimu sio mlevi ila naamini walevi wengi wanaongeaga ukweli.

We are proud😃😃
 
Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.

Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Nimeangalia hio video. Sijasikia akisema ana shida yoyote. Sana sana kaonesha jinsi watu walivyo wanafiki ukiwa nacho na usiookuwa nacho. Hata sisi tuna ndugu na jamaa wako hivyo. Nimemshanga tu kwamba alikuwa hajui hilo?!
 
Hamis Kigwangala ni mtoto wa mama.
Kukosa ubunge vilio kila siku,
Watanzania wote sasa wanajua kuwa Kingwangala analilia cheo ili arudishe marafiki zake.
Ujinga mtupu.
Kwani DK Hamisi sio tena mbunge wa Nzega....!??
 
Mmmh
Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.

Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Mmmh...Bilioni 100+ upate mda wa kujieleza mwananchi? Sidhani
 
Mkuu hela ni nyingi ukiwa huna. Inawezekana alipiga hela lakini akazitumia hovyo au kuwekeza kipuuzi. Pia jamaa kaonyesha ni mpenda mikopo hivyo usikute kuna mikopo ilimzingua.
Alitupiga dola za kutosha kupata vitalu vya uwindaji.
Yeye na M. Mgimwa wanalipia jeuri yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…