Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Nime gundua una penda mabishano, hivi una jua mfuko kukata kwa aliye nacho si sawa na asiye nacho?Hata km kigwa ana hela nyingi sana bado.
What goes around, comes around like a hoola hoop!!Tanzania born British self made billionaire almaarufu kama mzee wa madungu jeshi Chris Lukosi kafurahia masahibu yanayomkuta waziri na mbunge wa zamani Hamis Kigwangalla.
Mfanyabiashara huyo maarufu mwenye makazi yake jijini London alionesha kufurahishwa na mahasibu yanayomkumba sasa hivi mbunge huyo wa zamani na kuandika kwenye ukurasa wake wa FB.
View attachment 3573628
mrangi nyboma
Ni watu wasiopenda kutumia vya kwao.. mara nyingi wakiwa kwenye madaraka wanapenda vya bwelele.Huyo haaminiki, akiwa waziri aliomba mkopo wa bodaboda mbili tu akanyimwa, sasa mtu kama kigwa ni wa kukopa bodaboda?
Si angewaagiza wa chini yake?Sema Chris naye sio kabisa. Yaani waziri akutafutie kitanda?? Hamis ni bwege ila Chris naye bwege zaidi.
We jamaa ni fala 😂Hana b100 huyo, hata b 5 hana.
Juzi juzi kuelekea uchaguzi kaenda kulia lia kwa mzee fulani happ tabora apewe support arudi mjengoni.
Mzee kamjibu yeye yuko bize na jeshi, au kama akipenda ampeleke jeshini 😅😂
Ila kigwangala nae amemjibu kashaomba yaisheTanzania born British self made billionaire almaarufu kama mzee wa madungu jeshi Chris Lukosi kafurahia masahibu yanayomkuta waziri na mbunge wa zamani Hamis Kigwangalla.
Mfanyabiashara huyo maarufu mwenye makazi yake jijini London alionesha kufurahishwa na mahasibu yanayomkumba sasa hivi mbunge huyo wa zamani na kuandika kwenye ukurasa wake wa FB.
View attachment 3573628
mrangi nyboma
Kigwa hata bilioni 100?! Hata yeye atakuwa ameshtuka, labda labda milioni 50 nje ya mali za kudumuKigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Hivi wakuu mnaijua billionMakaveli hiyo unayoiongelea ni dola millioni 40 kasoro. Unajenga stadium ya kubeba watu 30 elfu inaisha. Pamoja na upgaji huko uyo hajafika nakataa. Ila kwa B chini ya kumi sikupingi, pengne anazo.
Bilioni mia weeeee, una hata milioni mia, acha masikhara wewe, harambee ya ccm kufika bilioni mia iliyumba we unaleta mchezo dogo, tulia dogo maneno ya vijiweni yasikudanganyeKigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Alisema hivo na uhakika Hana milioni kumi cash kwa acc, hivi bilioni mia unaichukulia mchezo weeweee, tuna mzigo mzigo sana, kwa vijana wa hivibilioni 100 sio mandazi mkuu tena kwa Kigwangala. Uyo hta robo ya hiyo pesa hana, japo yawezekana anazo bilion kadhaa ila kwa 100 ni too far.
Sio kigezo wewe, bilioni mia unaijua?Mkuu, mtu huyu kahudumu uwaziri kwa muda gani?
iliwahi kutajwa kama hela ya mboga tu, "vijisenti" huko bunge la CCMHivi wakuu mnaijua billion
Mtu anaitamka billion kirahisi kwa sababu tu yuko nyuma ya keyboardAlisema hivo na uhakika Hana milioni kumi cash kwa acc, hivi bilioni mia unaichukulia mchezo weeweee, tuna mzigo mzigo sana, kwa vijana wa hivi
Sasa wee balls za kuvimbia miaka 10 ijayo bado unaona jana mawe mejii? Je hiyo 10yrs asipofika? Akaukata njiani?Nime gundua una penda mabishano, hivi una jua mfuko kukata kwa aliye nacho si sawa na asiye nacho?
Nimesha kwambia he still got some balls,za kuvimbia 5-10 yrs, asipo Pata sahani tena ni kubaya
Pale geita Kuna don anajihusisha na biashara za vinywaji changamshi kampuni yake hadi Zambia unapishana na gari zake, ila deni la bilioni nne tu lilimtoa kamasi,Mtu anaitamka billion kirahisi kwa sababu tu yuko nyuma ya keyboard
Kuna watu ni wafanyabiashara wakubwa ila billion kwao ni ndoto hawana
Kuwa na billion sio swala dogo
haha milion 50? Nini faida ya kuwa mbunge na waziri kwa muda wote huo? Achana na wizi, ukiwa na cheo inakua simple hata kupata connection kwenye biashara zako. Au wenzetu vyeo ndo wanadhani kila kitu hawafikirii nje ya box kama asemavyo yeye?Kigwa hata bilioni 100?! Hata yeye atakuwa ameshtuka, labda labda milioni 50 nje ya mali za kudumu
We unaijua?Sio kigezo wewe, bilioni mia unaijua?