Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Umetimza mwaka leo kwa kuwa mume bora hongera mkulu.
 
Ahsante kiongozi. Katoto sikaweki tena mgongoni. Kameshaanza nasare skuli. Akchuale tunapanga na mamake ku do the needful!
 
U mean the 2 one? zis iz seriaz now. Nyota ya kijani/UMATI hamfwati kabisa?
 
hizi kazi zinafanyika saa ngapi ?? Binamu unakaa karibia na chawote.com?
 
We acha tu mama! Nisipofanya hivyo sipewi chakula cha usiku. Nalazimika kuikimbia chawote kwa ajili ya tabernakle!
 
Hapa kuna nini tena yarabi? mtu anaosha vyombo na mtoto mgongoni? AU NDO WOMEN'S DAY?
 
Hapa ndio unaanza kuharibu.Unatoa siri za ndani sasaaaa.Mie sikupi chakula cha usiku kwa vile sitaki unenepe sana.
 
Hapa kuna nini tena yarabi? mtu anaosha vyombo na mtoto mgongoni? AU NDO WOMEN'S DAY?
Siku ya wanawake duniani lazima ienziwe. Jana ulirudi home saa ngapi hommie?
 
Back
Top Bottom