bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Mpwa we noma.
mmh huyu mpwa na lugha zake zake za kiblurei....ila hajazitumia kwenye PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa we noma.
Ahsante kiongozi. Katoto sikaweki tena mgongoni. Kameshaanza nasare skuli. Akchuale tunapanga na mamake ku do the needful![/QUOTE]
Tena itabidi tuharakishe zaidi hili suala.
Tatizo waifu kakomaa kinoma. Inaelekea ana hobi ya kunyonyesha.U mean the 2 one? zis iz seriaz now. Nyota ya kijani/UMATI hamfwati kabisa?
Usijali, nawasiliana na wachina wafanze mambo. Ikibidi tupige tatu at a go. Unaonaje?Tena itabidi tuharakishe zaidi hili suala.
Ndio maana nakupenda.una akili sana na huwa unaona mbali.Usijali, nawasiliana na wachina wafanze mambo. Ikibidi tupige tatu at a go. Unaonaje?
Ndio maana nakupenda.una akili sana na huwa unaona mbali.
We acha tu mama! Nisipofanya hivyo sipewi chakula cha usiku. Nalazimika kuikimbia chawote kwa ajili ya tabernakle!hizi kazi zinafanyika saa ngapi ?? Binamu unakaa karibia na chawote.com?
hehehehe😀😀We acha tu mama! Nisipofanya hivyo sipewi chakula cha usiku. Nalazimika kuikimbia chawote kwa ajili ya tabernakle!
anabembeleza asije akanyimwa huduma TARBENAKLEHapa kuna nini tena yarabi? mtu anaosha vyombo na mtoto mgongoni? AU NDO WOMEN'S DAY?
Hapa ndio unaanza kuharibu.Unatoa siri za ndani sasaaaa.Mie sikupi chakula cha usiku kwa vile sitaki unenepe sana.We acha tu mama! Nisipofanya hivyo sipewi chakula cha usiku. Nalazimika kuikimbia chawote kwa ajili ya tabernakle!
NAONA somo halijaeleweka hapa😀😀😀Hapa ndio unaanza kuharibu.Unatoa siri za ndani sasaaaa.Mie sikupi chakula cha usiku kwa vile sitaki unenepe sana.
Siku ya wanawake duniani lazima ienziwe. Jana ulirudi home saa ngapi hommie?Hapa kuna nini tena yarabi? mtu anaosha vyombo na mtoto mgongoni? AU NDO WOMEN'S DAY?
Chakula cha usiku kinanenepesha?Hapa ndio unaanza kuharibu.Unatoa siri za ndani sasaaaa.Mie sikupi chakula cha usiku kwa vile sitaki unenepe sana.
Afadhali umwambie mambo ya tabernakle bado kujua huyu😀😀😀NAONA somo halijaeleweka hapa😀😀😀
anayajua sana!anatuzuga tu lol😀😀😀Afadhali umwambie mambo ya tabernakle bado kujua huyu😀😀😀
Mie sikupi chakula cha usiku kwa vile sitaki unenepe sana.