chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Ukinunua dai risit. Ukiuza dai risit.
Unamaanisha ALICHOLIPWA yule BELLA hakistahili Kukatwa kodi?Mkuu yaani uuze wewe mwenyewe halafu udai risiti!!!?...Utakuwa umetisha sana...
Kawatupa kabisa. Na hii ilikuwa ni fursa pekee ya kuwatangaza Yamoto Band nje ya mipaka ya Tanzania.Yamoto band kesha wachoka?
Ameacha kubana matumizi.
chuki ni dhambiUku sasa ni kukosa uzalendo kwa nini asingewaalika wasanii wa nyumbani? Ingekuwa Ikulu ya Congo kuna msanii wa Tanzania angealikwa kweli?
Uku sasa ni kukosa uzalendo kwa nini asingewaalika wasanii wa nyumbani? Ingekuwa Ikulu ya Congo kuna msanii wa Tanzania angealikwa kweli?