Christian Bella afanya show Ikulu iliyoandaliwa na Rais Magufuli kwa ajili ya Rais Kabila wa DRC

Christian Bella afanya show Ikulu iliyoandaliwa na Rais Magufuli kwa ajili ya Rais Kabila wa DRC

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Shughuli hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkali wa masauti Christian Bella alikuwa mmoja kati ya wasanii ambao walialikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya kusherehesha shughuli hiyo. Angalia picha.


VIDEO



xIMGS1035.jpg.pagespeed.ic.ZlHtl4GsbH.jpg

xIMGS1043.jpg.pagespeed.ic.N8IYWy7dSP.jpg
xIMGS1040.jpg.pagespeed.ic.P7A7pvKCXi.jpg
xIMGS1032.jpg.pagespeed.ic.sq3pQ2CJ4V.jpg

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa “Nani kama Mama” kwenye dhifa hiyo
xIMGS1025.jpg.pagespeed.ic.fASaDq6jy4.jpg

xIMGS1015.jpg.pagespeed.ic._Qp4HSH1UQ.jpg
 
Uku sasa ni kukosa uzalendo kwa nini asingewaalika wasanii wa nyumbani? Ingekuwa Ikulu ya Congo kuna msanii wa Tanzania angealikwa kweli?
 
Dah huyu jamaa ni hatareee sana, hapa kuna timu flani inaona wivu sana...!! Big up bro Bella
 
Aisee ww ni kio cha jamii


That y rais amekuona siyo akina domo
 
Back
Top Bottom