Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Asije naye akachezea mvua kama babu seya[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetisha.Sambusa zenyewe ni zile za kabichi sio za nyama.
Au eti 'turubai nitandikie, na Msham usimamie'Chaaaa hao wanaoumba una rambooo mm nina muwaaa....[emoji19] [emoji19] [emoji19]
Alikuwepo anafanya nini? Anatumbuiza au amealikwa tu...Zahir alikuepo baba Yake banana
Mhhh hata wewe! Diamond amepanick kwani? Btw Enzi za kikwete Diamond alikuwa anaenda kufanya show ikulu au kumtembelea JK? Mbona mnataka kuifanya hii issue ionekane kama Diamond amelost saana?Naona show za Magu sahv Christian Bella ndio anakamatia inawezekana mpaka sasa Christian B ndie msanii pekee aliyeingia ikulu kuperform, acha Diamond apanic" enzi za mkulu zimepita labda aitwe akaimbe msoga" nw ni King of the best melodies
Christian bella ni show yake yapili hii kama sio ya 3 kuna ile Mwanza na nyingne dar es salaam hii ya Ikulu jana Magu akiwepo na akasema anapenda sana nyimbo za bella" sio kua namponda diamond my number 1 favourite artists in the world sio Tz tu bt nimefurah nae kuisoma namba akiwa kama watu walioipigia kampeni ccm kuingia madarakani" ila kitendo chake cha kutoa kauli mbaya jana clouds kuhusu kulipa kodi" nilishangaa sanaMhhh hata wewe! Diamond amepanick kwani? Btw Enzi za kikwete Diamond alikuwa anaenda kufanya show ikulu au kumtembelea JK? Mbona mnataka kuifanya hii issue ionekane kama Diamond amelost saana?
Mlichofail kuelewa ni kuwa aina ya watu waliokuwepo ndio waliosababisha Bella apewe hiyo show. Ni nani asiyejua kuwa mashabiki wengi wa Diamond ni vijana, mlitaka aitwe akawaimbie hao wababu kitu gani.
Alitoa kauli gani kwani.Christian bella ni show yake yapili hii kama sio ya 3 kuna ile Mwanza na nyingne dar es salaam hii ya Ikulu jana Magu akiwepo na akasema anapenda sana nyimbo za bella" sio kua namponda diamond my number 1 favourite artists in the world sio Tz tu bt nimefurah nae kuisoma namba akiwa kama watu walioipigia kampeni ccm kuingia madarakani" ila kitendo chake cha kutoa kauli mbaya jana clouds kuhusu kulipa kodi" nilishangaa sana
Alitumbuiza lakini alichokifanya hakikufurahisha hadhira iliyokuwepo na naona aliyemtengenezea dili alijuta. Kuna Bendi nyingi sana ambazo zingekwenda na kufurahisha Wakuu lakini cha kushangaza wakamtafuta solo artist asiye na nyimbo za kuchangamsha.Alikuwepo anafanya nini? Anatumbuiza au amealikwa tu...