Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
Mkuu inategemea na tafsiri yako kuhusu umasikini. Kwa taarifa yako Kabla ya ukoloni hapakuwepo mwafrika wala mueshia aliyekuwa masikini.